mkutano wa chadema geita-utitiri wahudhuria

othiniel

Member
Apr 9, 2012
18
7
Hamjambo wana jf napiga hodi kwa mara ya kwanza kwa kuwapa habari za mkutano wa chadema ambao kwa mahudhurio wakazi wa geita wanadai haijawahi tokea,matukio ya leo moja ni diwani mwingine wa visiwa vya kome ccm avaa gwanda la chadema na kuachana na magamba pia ni wilaya ya sengerema na yule wa sengerema mjini nae alikuwepo.la pili lemma asema pinda ni muongo kupita shetani.
 
Geita huwa wanakuwa wengi katika mikutano, lakini kila uchaguzi wanapiga kwa chama makini(CCM).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Peoples power daima!! Watz tumechoka na magamba, SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
 
Back
Top Bottom