Mkutano wa Chadema Bukoba Live

Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha. Lengo ilikuwa ni kuwaumbua wabunge wa ccm wanaodandia hoja za CDM...wanataka Wananchi wawajue kuwa ni wanafiki.


ccm wanafikisana.. jana wametoa mapovu sana.. lakini kumbe ni wezi tu wasio na huruma... ni sawa na yuda tu
 
Watu hasa Vijana wanapokea kadi mpya utafiriki sala ya toba na ubatizo baada ya Mkutano wa Mhubiri Mashuhuri..wengine wanarudisha kadiza ccm..muda umekwisha
 
peoplessss,Lwakatare poweeeeer,madiwani wa Bilele na Buyekera wamekuja kundini au bado hawajaamua?mwenyewe namalizia masomo nikija mwezi wa sita mwaka huu ni mikakati mbele kwa mbele ya kuchukua kata ya Karabagaine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom