Mkutano wa Chadema Bukoba Live

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Hapa nipo kwenye mkutano wa chadema Bukoba mjini chakushangaa jua ni kali balaa lakini watu wapo nyomi mbaya.

Kingine nimekiona hapa ni jinsi Chadema inavyo heshimu dini, hii imetokea wakiwa wanatumbuiza ikafika saa 10 na madakika mida ya adhana kwajinsi chadema inavyo heshimu wakastopisha shughuli zote mpaka ibada ilipoisha chedema naona wanaendelea huku wananchi wakimiminika.

source ni mimi mwenyewe.
 
Naona wahaya sasa wameamka yaani huu muamko sio mchezo mpaka wanawake duh! yaani mimi.

Sasa hivi mkutano umesimamishwa ili watu wamalize kuswali then mkutano unaendelea kama kawa.
 
mkutano wa siasa na viongozi mbali mbali wa chadema ndio wanauendesha mada zitakazo jadiliwa ntawaletea maana sasa hivi wanasubiri msikiti wa hapo jirani wamalize kuswali.then waendelee.
 
tupia tupia picha basi kama unaponunua mishikaki huwa wanatupia na vichips kwa mbalii
 
mkutano wa siasa na viongozi mbali mbali wa chadema ndio wanauendesha mada zitakazo jadiliwa ntawaletea maana sasa hivi wanasubiri msikiti wa hapo jirani wamalize kuswali.then waendelee.

picha.bwana.tangu regia alipotutoka.hakuna picha tena.weka picha.
 
Natumia simu ila watu ni wengi sana mpaka wengine wapo JUU YA MSIKITI WATU ZAIDI YA 12 maana uwanja ni mdogo.

Sasa hivi anaongea Wilfred Rwakatare.
 
Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha. Lengo ilikuwa ni kuwaumbua wabunge wa ccm wanaodandia hoja za CDM...wanataka Wananchi wawajue kuwa ni wanafiki.
 
Vanilla umetia vanilla bana mbona mimi sijaskia hivyo wakati nipo hapa mkutanoni.

Vanilla ni pm maeneo gani ya Bk naweza pata menu nzuri ya jioni kabla sijaondoka hapa Bk.
 
Iwee epicha zilinkaasi!!? Tupia hapa mkuu tunasubiria!! Vipi Rwakatare anasemaje, Dismus lile ni jembe mkuu linayapi leo? Mkuu tupe updates za kutosha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom