mkutano wa Chadema Arusha

Status
Not open for further replies.
Ukombozi upi wa wachaga au? Lema hajitambui anaongea nonsense..


Hata kama umewekewa pamba masikioni usisikie, hata kama umefungwa kitambaa cheusi machoni usione, Hata kama umefunga akili yako usiitumie hata 1% kufikiri, Hata kama umeziba pua usinuse harufu ya mabadiliko, by 2015 utaelewa tuu. Lets go 2015. Gamba wewe
 
Ukombozi upi wa wachaga au? Lema hajitambui anaongea nonsense..

Stone . . . . Bange mbaya sana haa ukiwa kichwa nazi
ImageUploadedByJamiiForums1348588656.203282.jpg
 
Cdm mbona mkiwa peke yenu mnaongea maneno mengi kama kweli nyie wanaume ingieni barabarani ili mpambane na polisi.
 
Asante Mungu kwa kuanza kusikia kilio chetu cha muda mrefu, fanya hivyo hivyo kwa mikoa yote ya Tanzania kama jiji la Arusha ili ukombozi wa Taifa hili lenye utajiri mwingi likombolewe toka kwa wajanja wachache wanaonufaika nao na kuandaa mazingira ya kujinufaisha wao na familia zao,pamoja na ndugu zao AMINA!
 
Nilichokiona leo pale kwenye mkutano ni ukombozi uliotukuka.
Godbless lema hana tofauti na julius malema
 
Huyu ni kamanda watu raisi wetu mtarajiwa.
293125_399618333421009_801864624_n.jpg
Kwanza hii picha ni fake..
halafu kama unataka picha za kuwa kashifu viongozi wa CCM zipo nyingi sana na nikianza kuziweka hapa sana sana ama mimi nifungiwe au JF...acha nijifanye mjinga...
 
Ukombozi upi wa wachaga au? Lema hajitambui anaongea nonsense..
Ni lazima utakuwa na chuki dhidi ya wachaga. Hii ndiyo kawaida ya watu wa chama chenu. Kwani wachaga wamekufanya nini? Au hawana haki ya kushiriki kwenye siasa za Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom