Mkutano wa CHADEMA Arusha

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,237
954
Kwa walioko Arusha hebu mtujuze kuhusu taarifa za mkutano wa hadhara wa CHADEMA unaotangazwa huko.

Je unafanyika lini? Jumamosi au Jumapili hii?

Ni akina nani watakuwa wanenaji wakuu na mada ni nini?

Tuko nje kidogo ya mji ila tungependa kuwa updated.
 
Ndio kesho kuanzia saa saba mchana pale Nmc kutakuwa na mkutano wa chadema. Vua gamba vaa gwanda.
 
Hivi ndani ya mwaka mmoja, CDM wanafanya mikutano jijini Arusha mara ngapi?. Je kuna mji mwingine ambao chadema hufanya mikutano mara kwa mara kama Arusha?. Au ni kwa sababu Arusha ipo kanda ya kaskazini?.
Napita tu.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
We kadakabikira!!! si jukumu lako kuipangia utakacho wewe CDM; tia maji kichwani unyolewe!
 
Chadema ni chama makini kuliko unavyofikiri.....ni dhoruba kali kuliko ile ya "rainbow coalition" kule kenya iliyoking'oa kile chama cha jogoo,....

Hiki ni chama cha umma,.
 
Hivi kuvua gamba kumbe ni kazi rahis sana, naikumbuka kauli ya edward lowassa, aliyoitoa kule jimboni kwake baada ya vijana wa ccm 300 kuhamia cdm "sasa kama vijana wameamua kwenda cdm,acha waende sasa tutafanyaje"?....hii ni kwa mujibu wa aliyekuwa mgombea wa cdm wa jimbo hilo, ndg amani ole silanga ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya cdm
 
We kadaka acha kuijadili chadema kwa taarifa yako kama hujui chadema imechukua jimbo leo meatu
 
Hivi ndani ya mwaka mmoja, CDM wanafanya mikutano jijini Arusha mara ngapi?. Je kuna mji mwingine ambao chadema hufanya mikutano mara kwa mara kama Arusha?. Au ni kwa sababu Arusha ipo kanda ya kaskazini?.
Napita tu.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".[

inabidi ukaombewe girl,inaonekana hiyo laana yako ni tasa.]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom