mkutano wa ccm mpanda,watu wachache sana!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,307
13,269
leo chama cha mapinduzi wapo mpanda,wakiongozwa na nape nauye,pamoja na kusomba watu na maroli toka vijijini,watu ni wachache sana!wanamwambia mc,aongeze sauti watu wasikie huko majumbani mwao ili watu waje,kwani inaonekana hawajasikia! source.mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
 
ingia www.risasi. co.tz uone za sumbawanga na umati wa watu jana nimetupia ss hivi.wanatia huruma kweli kweli.ziligoma kuja hapa JF. Yaani hatuogopi yule mwanga aliyesema kama hamtanipigia kura mimi mawe yatapiga tu mzindakaya. Wamwombe radhi kutompitisha mgombea wake mwaka 2010 ambapo makamba alilamba m80 akampitisha yule dogo mwarabu aliyepigwa chini mahakamani. Ngoma inoooogile,piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipozi pooooooooooooooooooower noeni majembe nitawapa A-Z Mkija kuchukua jimbo letu na wana s'wanga tuko nanyi.M4C don't comment
 
Huko ndio nyumbani kwa sura mbaya 'liwalo na liwe', kazi kweli kweli...
 
"Kila chenye mwanzo, lazima kiwe na mwisho" kwani mlitaka unabii usitimie?????????????????????????
 
Ukiona mpaka vinyonga na kobe wanakimbia kasi ujue behind them kuna moto mkali.Mikoa kama Rukwa imekuwa ngome ya CCM toka kitambo but now nao wanaikataa.
 
Ukiona mpaka vinyonga na kobe wanakimbia kasi ujue behind them kuna moto mkali.Mikoa kama Rukwa imekuwa ngome ya CCM toka kitambo but now nao wanaikataa.

Du M4C haina huruma! Hadi kwa liwalo na liwe magamba hayana chao
 
leo chama cha mapinduzi wapo mpanda,wakiongozwa na nape nauye,pamoja na kusomba watu na maroli toka vijijini,watu ni wachache sana!wanamwambia mc,aongeze sauti watu wasikie huko majumbani mwao ili watu waje,kwani inaonekana hawajasikia! source.mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

Hivi waTanzania bado wanasombwa na malori?
 
Back
Top Bottom