Mkutano wa CCM Kigoma katika ITV

BigMan

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,096
135
WANA JF MLIOKO KARIBU NA itv,HIVI SASA WANARUSHA KIPINDI MAALUMU CHA MKUTANO WAO HUKO KIGOMA
 
Hawana jipya

Wanapiga porojo tu wangeweza kuweka hizo porojo zao kwenye magazeti ya shigongo.Kuwatajia wananchi kuwa wanatarajia kutenga bil 100 ina tija?Wananchi hawaitaji Majibu bali wanahitaji Majawabu
 
Huyo Charles Tchizeba anakiri hadharani matumizi mabaya ya ofisi kwenye mamlaka ya reli Kigoma,harafu anadai...basi tu kwa sababu ni mtoto wa kiongozi simsemi kaah!
 
Huyo Charles Tchizeba anakiri hadharani matumizi mabaya ya ofisi kwenye mamlaka ya reli Kigoma,harafu anadai...basi tu kwa sababu ni mtoto wa kiongozi simsemi kaah!

ccm kumruhusu wasiri kuwa mpiga debe muhimu ni ishara tosha kwamba ccm kwishnee
 
nape, eti tuwatishie machafuko.... vita... si unajua huku kigoma wako karibu na wakimbizi wa Rwanda na burundi!
 
wajameni mliooangalia kigoma ilishakuwa dubai?aaaaa iogope ccm.Badala ya kupima virusi vya ukimwi pima damu yako uone kama kuna chembe za uccm uwahi tiba mapema kwa sababu ni heri ukimwi kuliko ccm
 
wajameni mliooangalia kigoma ilishakuwa dubai?aaaaa iogope ccm.Badala ya kupima virusi vya ukimwi pima damu yako uone kama kuna chembe za uccm uwahi tiba mapema kwa sababu ni heri ukimwi kuliko ccm

Bahati mbaya hasira zako na chuki zako dhidi ya CCM zinaishia JF kwahiyo hazitupi tabu. Kura yako kwa wapinzani na rafiki zako wawili watatu zinatusaidia kuaminiwa kuwa kuna siasa ya vyama vingi nchini. Keep it up!
 
Sioni kama umejibu hoja ya jamaa hapa!!!!! Walk your talks mkuu acheni kutenda kama chama cha upinzani. Mmeshapewa mamlaka ya kutengeneza serikali, sasa ya nini kulalama kutwa kucha?

Wala hamuhitaji kuzunguka na kuandaa political rallies, mwapoteza muda mwingi sana unnecessarily and uselessly. Mkitaka kuua upinzani yatumieni mawe wanayowarushia kujengea maboma yenu, I mean, mkitatua KERO za mwananchi wa kawaida mtakuwa mnaupunguza upinzani nguvu. Wala hamtahitaji kujijenga kwa kupiga kelele viwanjani. Hiyo ni kazi ya vyama vya upinzani, nyie pigeni kelele wakati wa kampeni mkionesha ni kwa kiasi gani ILANI yenu mmeitekeleza. Vinginevyo, you will always shout empty words, everybody will hear you but NONE of them will LISTEN to you!

Take it or leave it!
 
Bahati mbaya hasira zako na chuki zako dhidi ya CCM zinaishia JF kwahiyo hazitupi tabu. Kura yako kwa wapinzani na rafiki zako wawili watatu zinatusaidia kuaminiwa kuwa kuna siasa ya vyama vingi nchini. Keep it up!

Acha kujipa moyo kijana, CCM inaishi kwa matumaini, subiri uone kimbuka cha kungoa msingi wa nyumba 2015, Mmekwisha!!
 
nape ccm mumekwisha! ebu jiulize tokea 1995-2010 mume ahidi mengi mno! na hamuna mulichokifanya! muliifanyia fitna cuf leo chadema imewaganda! na haiganduki! znz hali ni tete mno! mumetukana mashekhe na laana hii imeshawamaliza! waombeni radhi wazanzibar! nape ccm mumekosa hekma hadi kuwatishia wana ccm walio namaoni tofauti jitayarishe na makontena mwaka huu kadi kwa zbar mutachukua wenyewe! kama huamini subiri utaona!
 
Bahati mbaya hasira zako na chuki zako dhidi ya CCM zinaishia JF kwahiyo hazitupi tabu. Kura yako kwa wapinzani na rafiki zako wawili watatu zinatusaidia kuaminiwa kuwa kuna siasa ya vyama vingi nchini. Keep it up!

Da, Nape, unajitahidi kutetea ulaji lakini ninaamini baada ya octoba 2015 lazima ukonde maana plan A ni CDM na B ni Lowassa na Rostam.. Unalo. Umshaharibu.
 
hivi ccm ni chama kinacho tawala au chama cha upinzani..mbona siwaelewe na mzee wa makaroti analeta ngojera zake hapa.
 
Back
Top Bottom