Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza

S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,138
82
5331d1248096135-mkutano-mkuu-ccm-tawi-la-uingereza-ccm-02.jpg
Kwa wale Wana CCM wa wapenda mageuzi wote nimeikuta hii kwenye tovuti ya Tawi nikaona niwaletee hapa, mpate taarifa.




CCM 02.JPG
 
Yebo yebo umekuwa katibu mwenezi wa ccm reading? Usitusahau kwa fulana na kofia.
 
CUF, CHADEMA, ETC mnaweza bandika matangazo yenu hapa nanyi pia, unless huku majuu hamna ma-branchi yenu!

JF were we dare to post openly!
 
Hapa sio mahala pake, CCM na JF wapi na wapi??? Mods close this Thread.
Hapa ni mahala pake mkuu, sema jukwaa la Siasa si mahala pake kwakuwa ni tangazo.

Kwani JF na CHADEMA au CUF wapi na wapi? :)

Mabadiliko ya kweli yanatokana na watu na si vyama, wana CCM hawa labda wanaweza kuleta mabadiliko (who knows?)!
 
Hapa ni mahala pake mkuu, sema jukwaa la Siasa si mahala pake kwakuwa ni tangazo.

Kwani JF na CHADEMA au CUF wapi na wapi? :)

Mabadiliko ya kweli yanatokana na watu na si vyama, wana CCM hawa labda wanaweza kuleta mabadiliko (who knows?)!

Hold on mkuu,
Hakuna mwana sisi m anaweza kuja na mapya zaidi ya kufikilia kuiibia nchi hii.
Labda yule atakayezaliwa baada ya mwaka 2010 na akae kwenye kisiwa peke yake kwa miaka 25.
Ushahidi upooooooooooooo
 
Walioko huko uko huenda ni wasomi kabisa na uwezo wao wameshindwa kabisa kuunga mkono sauti za watz wenzao ambao kila kukicha sasa WANAPIGANIA HAKI/USAWA/URARI/HAKI ZA BINADAMU NA wanapigia kelele ufisadi; dhuluma (north mara ni mfano mdogo kabisa); watu hawapati mlo hata mmoja kwa sababu hawajatenengenezewa mazingira kweli na elimu zenu mnaamua kupanga njama zaidi kulihujumu taifa letu; kweli baniani mbaya; mbona elite wengine wako tofauti angalia elite wa iran wanavyopigania mageuzi; ni aibu waosmi wa tanzania ni aibu eti alama ya jembe na nyundo kweli; kwa hiyo madini yetu; mazingira yetu (yanayoharibiwa nakuaa watu sasa); rasilimali zetu zinazoibwa ndio; richmond; kagoda; iptl; buzwagi ( au ndio wawezeshaji?) nk ndio jembe ne nyundo; ni mali zetu na watoto wetu hizo sio zenu; ipo siku zitarudi; JAMANI RUDINI HUKU SASA MTUSAIDIE WAKULIMA MIAKA 50 KARIBU SASA TUNADANNGANYWA NA CCM; BADALA YAKE TUNAPIGA MACKTIME NYUMA. TUOKOENI JAMANI NIKO KIJIJINI HUKU WATUENDI POIPOTE AU KWA KUWA MMEWEZESHWA
 
Hata kama ni mkutano wa kunywa kahawa? unapongeza nini sasa hapo kijana?
Huu ni mkutano mkuu wa tawi, hivyo lazima utakuwa na ajenda kadhaa, aidha ni nafasi nyingine ya kupata wanachama wapya...ili kuendelea kuimalisha tawi hilo...


Nawatakia kila la heri katika mkutano huo...
 
Huu ni mkutano mkuu wa tawi, hivyo lazima utakuwa na ajenda kadhaa, aidha ni nafasi nyingine ya kupata wanachama wapya...ili kuendelea kuimalisha tawi hilo...Nawatakia kila la heri katika mkutano huo...

Una kofia na Tshirt lakini kijana?
 
Back
Top Bottom