Mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho Bukoba mjini

Ta muganyizi, shumalamu..
Nyabhingi is very correct namshukuru kwani tuichukulie kama apo ametupa challenge, lazima tuache kukumbatia magamba 2015 tuwe mfano kwa kuwakataa mafisadi na ccm yao
ni aibu kuchagua ccm hawa wanaofilisi nchi, ni aibu kubwa sana
 
rwakatwale angekuwa cuf angeshinda kirahisi pale bukoba sivyo mnavyo pafikiria mkubali ukweli hata 2015 hashindi.alikurupuka tu.2000 alikuwa mbunge. 2005 aliporwa wazi huko alikuwa cuf. 2010hii alishindwa waziwaazi bila ya kuporwa aliakubali matokeo.akitokea jamaa makini wa cuf bukoba atashinda
 
Back
Top Bottom