Mkutano CCM

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,791
4,679
MKUTANO WA UFUNGUZI WA SHINA JIPYA LA CCM LEICESTER, UINGEREZA:

Kidumu Chama cha Mapinduzi!

Kutakua na mkutano wa ufunguzi wa shina la CCM Leicester, Tawi la UK.

Katika mkutano huo vile vile kutakua na uandikishaji kwa wanachama wapya na pia uchaguzi wa viongozi wa shina.

Viongozi Wapya wa TAWI, CCM UK pia watakuwepo
Wote mnakaribishwa Mkutano utafanyika siku ya Jumapili Tarehe 09.09.2012 kuanzia saa sita mchana ambapo chakula cha mchana na vinywaji Vitapatikana.

Mkutano utafanyika:UNIT 6
FIRST FLOOR
KOCHA HOUSE
MALABAR ROAD
LEICESTER
LE1 2PD.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na: Moses Kusamba, Kupitia namba zifuatazo.
07405272879/ 07903621150.

ABRAHAM SANGIWA
Naibu Katibu Siasa na Uenezi
Chama Cha Mapinduzi Tawi la Uingereza

Imetolewa na Idara ya Siasa na Uenezi, Tawi la CCM ,Uingereza. Tarehe : 07 September 2012.
 
All the best chama cha mabwepande.

Kwa hali iliyopo sasa, kosa kubwa zaidi ambalo mwananchi anaweza kulifanya ni kuwa mwana-CCM ikiwa ni pamoja na kuvaa yale matambara ya kijani.

Kitu bora zaidi ambacho mwananchi anaweza kukifanya ni kuikimbia na kuigopa CCM kama ukoma; halafu mapambano mengine dhidi ya UFISADI na uchafu mwingine wa CCM yaanzie hapo.

Huwezi kushirikiana na majambazi halafu usiwe jambazi japo kwa imani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom