Mkutanio mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru leo saa saba Ngaresero Usa River

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Kuanzia saa saba kutakuwa na mkutano mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru Mashariki walio kubali Mabadiliko.
Utafanyika Uwanja waa Ngaresero Usa River,pale walipo zindulia kampeni CCM na ndipo MhLusinde aka Kibajaj alipo poromoshea matusi ambayo yamamkula yeye na familia yake na ukoo wake mpaka anaingia kaburini.Fungua kwenye You Tube Mh Lusinde matusi.
Karibuni sana...
 
Tutakuwepo kwa muda uliopangwa tumshuhudie simba dume aliyeng'oa kisiki cha mpingo!
Aksante sana kwa taarifa hii njema!
 
Kwenye siasa ukiwaweka watu wako (mashabiki na wanachama) kari namna hii na kuwakumbuka kwa kile walichokufanyia utafika mbali sana.Hakika hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa,na huu ndio uzalendo wa kiafrika tuliokuwa tunautaka.Baada ya kupewa kile unachoomba ni vyema ukashukuru.

Tunajua watu wamekesha kwa siku tatu, lakini ni vyema mkawapatia wananchi kile wanachostahili. This is what we call, speaking from HEART to HEART. Gracias CDM
 
Pia namshauri Mh Nassari, ahakikishe anapanga muda wa kwenda kila mahali ambapo alifanya mikutano ya kampeni. Safari hii hasiende kuwahutumbia wananchi bali kuwasilikiza wananchi wanasema nini kuhusu matatizo yanayowakabili. Baada ya hapo ataangalia ni namna gani atashirikiana na wananchi hao kutatua matatizo hayo.
 
Back
Top Bottom