Mkurugenzi wa usalama yang dacai afukuzwa kazi kwa kutabasamu eneo la ajari.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,632
68,560
•Ofisa huyo alitokea kwenye picha ambayo ilipigwa na mwandishi eneo la tukio la ajari mbaya kati ya tanker la mafuta na basi la abiria liloua watu takriban 36,Serikali ya China ilichukizwa na ofisa huyo na kumchukulia hatua ya kumfukuza kazi na kumyang'anya majukumu yote aliyekuwa nayo nje ya kazi.
 
Back
Top Bottom