Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

Jana nilikuwa mwanasheria wa labour law. Akanionyesha makampuni yanaongoza kawa unyanyasaji wa wafanyakazi tanzania. Makampuni yanayomilikiwa/kuongozwa na 1.wachina. 2. Wahindi 3.makaburu (wazungu toka south africa) 4.waarabu

Ukweli mtupu,yaan ni manyanyaso kwa kwenda mbele
 
Nimesikitika sana maana Mafuru is hard worker and strict na wafanyakazi wa ngazi za juu hawakumpenda maana zile mwanya za mapanga aliziziba sana hivyo wanaweza kufanya kitu kumtega ili aonekane hafai. The next person will be Mchechu wa NHC maana kuna mabosi pale hawataki kumsikia sana. So be careful Mchechuu wahindi mjini wapo tayari kufanya kila mbinu uondoke NHC. I think you know what I mean!!!
Mafuru ninakuombea sana, Mungu akutangulie uonekane innocent na endelee na kazi yako hata kama si hapo ili tu matokeo yasichafue reputation yako nzuri.
 
jamani! hata yeye ni banadamu! sio kuwa yuko sawa 100% pia nae ameumbwa na tamaa! so tusubiri tuone! anaweza akawa ka kosea au lah! watanzania sasa ivi hatuaminiki kila m2 ni chukua chako mapema tu!
 
huyu jamaa huwa namkubali sana sijui madudu gani yameingia hapo duh au kakataa kupitisha dili la wakubwa let wait and see itajulikana mbivu na mbichi soon
 
jamani! hata yeye ni banadamu! sio kuwa yuko sawa 100% pia nae ameumbwa na tamaa! so tusubiri tuone! anaweza akawa ka kosea au lah! watanzania sasa ivi hatuaminiki kila m2 ni chukua chako mapema tu!

Ila sidhani kama ni vyema kuhukumu watu kwa "watanzania kutokuaminika"yani maana yangu sidhani kama ni vyema kuhukumu kwa ujumla wa Watanzania,wakati kumbe ni watu wachache tu....ni mtazamo tu
 
Even if proved guilty, dealing with him is just a tip of the iceberg. Wako wengi. Na inaeza kuwa Mbinu za kuwarejesha wadhungu au wasimamiz wageni ili kuonesha wazawa hatufai, if u know watta mean!
 
Whatever the case, ni baadhi ya vijana wa bongo ambao wametokelezea na ninawaangalia kama kioo cha mabadiliko ya uongozi na utendaji bora ndani ya Tanzania wakiwa vijana walioweza kuonyesha kuwa vijana wanaweza.. Wengine ni Mchechu(NHC),Mafuru(SBL),Imani Kajula(NBC),,Ms. Mwambapa(CRDB),Singano(BoA?),Hon. Zitto Kabwe,Kipanya(KP Wear) to name a few.
 
Huyu ni kichwa sana. Nilianza kumfahamu akiwa bado Standard Chartered lakini mambo yake ni matawi ya juu professional wise. Ngoja tusubiri uchunguzi uishe ndio tujue mbichi na mbivu.

Tiba
 
Kesho kutwa utaskia wamefunga akaunti zake kwa kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha!
 
Chairman of the NBC Board of Directors Dr. Mussa J Assad,
Huyu mzee yupo huku, alikuwa chairman wa NBAA. Mzee kichwa cha Accounting UDSM. Bado ni Head of Accounting Department - UDSM? Alikuwa akiingi Lecture room (kule theater rooms) anashusha materials, ukiwa kichwa maji unatoka kapa. Bonge la lecturer.

Mkuu CPA,
Kwa kweli Dr Assad ni hazina ya Taifa. Alinifundisha First year na kikubwa zaidi ndiye alikuwa Supervisor wangu wa Dessertation ya MBA. Nimejifunza mengi kutoka kwake. Is realy Intelligent in Accounting and Auditing Issues.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - HULL City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni habari nzuri saana kwa wafanyakazi wa kawaida wa NBC na chama cha wafanyakazi wa Mabenki FIBUCA, huyu bwana kiutendaji hakuwa mtanzania hata kidogo hasa kwa upande wa maslahi ya wafanyakazi, amefukuza mpaka kiongozi wa wafanyakazi, na NBC ni kati ya benki zinazolipa mishahara midogo zaidi tanzania kwa wafanyakazi wake, Kimsingi iko haja ya kufanya sherehe na Cheo ni Dhamana 2 jamani
 
Back
Top Bottom