Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

Da, they my me the miss you, and that sister eat soda and that day was Friday and the son was very green
Unajua nimesahau kukuambia kuwa sasa nimeanza sekondari ya kata, na kiingereza nakijua sana, mimi ndio kiongozi wa klabu ya kiingereza shuleni kwetu
Shemeji upo? jana nilikuwa kule mahala pa siku ile, unapakumbuka? karibu tena sie twaendelea kulundumula mambo, aisee!
 
Da, they my me the miss you, and that sister eat soda and that day was Friday and the son was very green
Unajua nimesahau kukuambia kuwa sasa nimeanza sekondari ya kata, na kiingereza nakijua sana, mimi ndio kiongozi wa klabu ya kiingereza shuleni kwetu

Haahahahahaaaa! isee naona ni kama yule mjamaika aisee aliyemwagia maji kupunguza sukari kw kuhofia ugonjwa kumzidi nguvu!
 
Siku hizi bana vi-inzi sijuli vimeugua ugonjwa wa usingizi?!!!

Hatupati ripoti maalum siku hizi, na zimiss sana...

RaiaMwema wamefuatilia lakini naona kutakuwa na fitna zinaendelea. Kumbuka Absa Group wanamilikiwa na Barclays ambayo kwa sasa iko taabani usishangae huo msukosuko ukafikia hadi NBC.

Mabilioni yapotea kiaina NBC
Mwandishi Wetu Toleo la 251 25 Jul 2012

  • Wateja hufutiwa madeni katika mazingira tata, BoT yachunguza
  • Mtandao wa wezi wapambana kujiokoa
  • 251_mafuru.jpg

HALI si shwari ndani ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) baada ya Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Lawrence Mafuru, kusimamishwa kazi, Raia Mwema limebaini.
Habari za ndani ya benki hiyo, ambayo Serikali ya Tanzania inamiliki asilimia 30 ya hisa, zinaeleza kwamba, kuna shinikizo la kuitaka serikali, kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) pamoja na Hazina, kuchukua hatua za haraka kulinda maslahi ya Tanzania katika benki hiyo.

Lakini wakati kukiwa na shinikizo hilo la kutaka hatua za haraka kuchukuliwa, uchunguzi wa Raia Mwema umebaini kuwa tayari vyombo vya dola, kwa kushirikiana na BoT, vimeanza kuitupia jicho NBC.

Hata hivyo, uchunguzi huo unafanyika katika benki hiyo yenye mtandao mkubwa nchini katika mazingira ya hadhari kubwa ikidaiwa kuwa, kuna juhudi kinzani zinazohusisha mbinu chafu ili hatimaye kuficha ukweli kwa malengo ya kuwalinda wahalifu wakuu dhidi ya mkono wa sheria.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa gazeti hili uliohusisha watendaji mbalimbali wa NBC, kwa sasa raia wa kigeni ndani ya benki hiyo wamekuwa wakifanya kila aina ya hujuma kwa muda mrefu sasa, na kwa upande mwingine wakijitahidi kuwabana wazalendo wanaoonekana kuwa vikwazo kwao katika kufanikisha mbinu zao chafu.

Taarifa ambazo gazeti hili linazo zinaonyesha kuwa moja ya mambo yanayochunguzwa na vyombo vya dola kwa sasa ni pamoja na ununuzi wa mtandao wa kibenki ambao ni maalumu kwa kuhifadhi kumbukumbu za wateja. Kitaalamu mtambo huo unajulikana kama Flexcube Data Base.

Mtandao huo ambao umenunuliwa na maofisa wa NBC ambao ni raia wa kigeni wanaofanya kazi katika benki hiyo inayoendeshwa kwa ubia kati ya Tanzania na Afrika Kusini, umeelezwa kugharimu Dola za Marekani milioni 30.

Lakini kinachoibua utata hadi kuhitajika uchunguzi ni taarifa nyingine kwamba, mtambo wa aina hiyo hiyo umepata kununuliwa na benki ya NMB kwa gharama ya Dola za Marekani milioni sita tu.

Fuatilia RaiaMwema
 
RaiaMwema wamefuatilia lakini naona kutakuwa na fitna zinaendelea. Kumbuka Absa Group wanamilikiwa na Barclays ambayo kwa sasa iko taabani usishangae huo msukosuko ukafikia hadi NBC.

Kakalende asante mkuu! Nilikuwa bize na mabox mkuu sikupitia Raia mwema mtandaoni, kwa hiyo hata haya mahujuma kwa Mafuru ni mbinu ya kumuondoa wezo wafaidi?
 
Sasa sijui lipi ni sahihi. Jana jamaa alisema kajiuzuru ili afanye mambo mbengine na anawapisha wengine na mbwembwe kibao. Leo tena kasimamishwa!.

Lipi ni lipi? Magazeti nayo vyamejaa personal interests hata ukweli ni wa kutafuta. Mtani yangu naye ni kabila la watu wenye majigambo, wivu, uonevu, ubinafsi na viburi visivyo hata chembe ya haya!. Sasa hii habari inafaa akue nayo yeye mafuru, familia yake na mwajiri wake.

CHA MUHIMI NI KWAMBA THE PUBLIC IS AWARE THAT HE IS NO LONGER WITH NBC. Hii kujua kaacha ama kasimamishwa kwa mara ya ngapi mimi naona ni mambo tu inakuja kunogesha mazungumzo.
 
Taarifa ya awali ni ya tarehe 20 July 2012 na iliongelea kusimamishwa; yeye mwenyewe baada ya kurudishwa, kajiuzuru kuanzia tarehe 24 Desemba 2012. Ushauri wa bure, Tabby naomba uwe asoma title na tarehe ya mada kabla ya kujibu, ni aibu!!!

Amepewa wadhifa gani huko? Hii habari mpya.
this is a valid source dude.....sio MD but ni mgt level arifu....utasikia....ataunga bonge la kolabo na akina imani kajula....sipati picha NMb day kudadadeki pale kajula pale mafuru mixa vile vishori vya backoffice
 
Kuna hizi habari zimeenea sana hapa mjini Dar Kuwa Managing Director wa NBC Bw. Mafuru kasimamishwa kazi...

Uteuzi wake kama Msajili wa Hazina umetenguliwa leo 7/December/2016; atapangiwa kazi nyingine!!
 
Uteuzi wake kama Msajili wa Hazina umetenguliwa leo 7/December/2016; atapangiwa kazi nyingine!!

JK naye alizidi kuokoteza watu walioshindwa kwenye taasis nyeti za fedha halafu , ndo akamweka jikoni,? kote alikopita inaonyesha jamaa alikuwa kilaza na dhani kupata nafasi hiyo ya azina kuna jinsi MPUNGA ULIPENYEZWA jamaa kaula
 
Kilaza kabisa yule ni injinia wa michongo; sasa kashtukiwa! Atasubiri sana kazi nyingine!
 
Back
Top Bottom