Mkurugenzi mpya Arusha

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
wakuuu JF,

Nasikia mkurugenzi wa Arusha mjini kaaanza na mkwala wa nguvu juu ya mgombea wa Chadema kwa kumtuuhumu kuwa anakampeni chafuuu??

Hivi sipati picha ni kuwa hawa wakurugenzi wanajipendekeza kwa CCM au?? wakumbuke tendwa aliwakanya wakuu wa mikoa na wilaya kutojihusisha na mabo ya kampeni sasa sijui mkurugenzi mpya umeingia madarakani nakujifanya unaujua uwajibikaji na kuanza kutoa mikwala ya kuukandamiza upande fulani wa kisiasa usije ukimbia mji wa arusha ni umeaanza kazi juuuzi tuuu iweje umeyajua hayo yote ya kampeni sio kama umernda ku vuruga kampeni za Arusha nadhani ndio unamweka batilda pabaya zaidi kuliko kumwokoa kabisa ni bora unge uchuna na kupotezea kwani matatizo yako kwa CCM ndani wao wanajiijua na wakigundua umeenda mbeba mgombea wa CCM tiali umekizamisha CCM
 
wananchi wataamua oct 31 nani anafaa kuwawakilisha arush na siyo huyo mkurugenzi kaimu aliyetumwa kwa kazi maalum
 
Back
Top Bottom