Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

jf bwana,

wakati mtu mmoja anamponda kwa sababu "jamaa kajenga nyumba 20 dar" mwingine anamponda kwa sababu hana nyumba kwao.

Haiyumkiniki mtu kujenga nyumba 20 dar bila kumalizia nyumba kwao.
amini usiamin bwana mgawe hana nyumba kwao .kwao ni laela sumbanga
 
Wadau,

Kuna mgomo baridi unaoendelea hapa bandarini, kila kitengo mambo hayaendi, bandari imejaa hakuna hata pa kukanyaga, meli hazifungi kwa sababu moja ama nyingine, ki ujumla kazi haziendi tu mradi kushinikiza ngamilo arudishwe.

Tarehe 03 October TPA walitangaza kwamba tug yao 1 imeharibika, hivyo wakabakiwa na tug 1 tu. Na kwa utaratibu ili meli iingie au kutoka bandarini kushusha mzigo, ni lazima ichukuliwe na tug 2. Bahati mbaya sana TPA wanazo tug mbili tu wanazotumia siku zote, hivyo tarehe 3 ilipoharibika tug moja, meli zote zilibaki zimepaki nje, hakuna iliyoweza kuingia wala kutoka wakisubiri tug ipone, ambapo kwa maelezo yao tug hiyo imepona juzi tarehe 7 (siku 4 nzima berth zimebaki wazi zikisubiri tug ipone, huku meli hizo zikiingia hasara ya minimum $ 20,000 kwa siku kutoka kwa walikozikodi).

Bahati mbaya zaidi TPA Corporate Communication Manager Bwana Franklin Mziray alipohojiwa na gazeti la daily news alikataa na kusema TPA inazo tug 4 kitu ambacho sio kweli. Kama kweli wangekuwa na tug 4, meli zisingesimama kufanya kazi toka tarehe 3 hadi tarehe 7, na pia ops manager asingeandika barua nilio 'attach hapo kwenda kwa port manager.

Ushauri wangu, kucheleweshwa kwa meli bandarini, kunalipotezea taifa mapato mengi sana, nazijua meli nyingi sana za magari ambazo zimeacha kuja hapa na kushusha magari yao kenya ili kukwepa hasara wanayopata na usumbufu.

MWAKYEMBE, KAMA KWELI UNATAKA KUFANYA KAZI, HAYA NDIO MAMBO YA KUFANYIA KAZI, HAIWEZEKANI BANDARI ISIMAME KAZI SIKU 4 WEWE WAZIRI HAUJUI, HUU NI UZEMBE MKUBWA SANA.
 
Attachments

  • Newspaper cut.pdf
    80.1 KB · Views: 51
  • Letter.pdf
    54.1 KB · Views: 75
Wadau,

Kuna mgomo baridi unaoendelea hapa bandarini, kila kitengo mambo hayaendi, bandari imejaa hakuna hata pa kukanyaga, meli hazifungi kwa sababu moja ama nyingine, ki ujumla kazi haziendi tu mradi kushinikiza ngamilo arudishwe.

Cassian Ng'hamilo (sio Ngamilo) ni jembe la aina yake....NILIPATA KUFANYA NAE KAZI 1990s....sijui aliingizwaje kwenye hili.......ngoja niyaache tu............:spy::spy::spy:
 
Wadau,

Kuna mgomo baridi unaoendelea hapa bandarini, kila kitengo mambo hayaendi, bandari imejaa hakuna hata pa kukanyaga, meli hazifungi kwa sababu moja ama nyingine, ki ujumla kazi haziendi tu mradi kushinikiza ngamilo arudishwe.

Tarehe 03 October TPA walitangaza kwamba tug yao 1 imeharibika, hivyo wakabakiwa na tug 1 tu. Na kwa utaratibu ili meli iingie au kutoka bandarini kushusha mzigo, ni lazima ichukuliwe na tug 2. Bahati mbaya sana TPA wanazo tug mbili tu wanazotumia siku zote, hivyo tarehe 3 ilipoharibika tug moja, meli zote zilibaki zimepaki nje, hakuna iliyoweza kuingia wala kutoka wakisubiri tug ipone, ambapo kwa maelezo yao tug hiyo imepona juzi tarehe 7 (siku 4 nzima berth zimebaki wazi zikisubiri tug ipone, huku meli hizo zikiingia hasara ya minimum $ 20,000 kwa siku kutoka kwa walikozikodi).

Bahati mbaya zaidi TPA Corporate Communication Manager Bwana Franklin Mziray alipohojiwa na gazeti la daily news alikataa na kusema TPA inazo tug 4 kitu ambacho sio kweli. Kama kweli wangekuwa na tug 4, meli zisingesimama kufanya kazi toka tarehe 3 hadi tarehe 7, na pia ops manager asingeandika barua nilio 'attach hapo kwenda kwa port manager.

Ushauri wangu, kucheleweshwa kwa meli bandarini, kunalipotezea taifa mapato mengi sana, nazijua meli nyingi sana za magari ambazo zimeacha kuja hapa na kushusha magari yao kenya ili kukwepa hasara wanayopata na usumbufu.

MWAKYEMBE, KAMA KWELI UNATAKA KUFANYA KAZI, HAYA NDIO MAMBO YA KUFANYIA KAZI, HAIWEZEKANI BANDARI ISIMAME KAZI SIKU 4 WEWE WAZIRI HAUJUI, HUU NI UZEMBE MKUBWA SANA.

Maswala ya Siasa yabaki kwenye Siasa, na ya kiufundi yabaki kwa wajuzi wa mambo husika. Hakika kwa hili Mwakembe alichemka!
 
Back
Top Bottom