Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa awajibike kwa Bunge pia

Mkuu Salary Slip hakuna usalama wa Taifa nchini bali kuna usalama wa Mafisadi. Taifa lenye taasisi ya kusimamia usalama wa Taifa kamwe haliwezi kuwa na madudu kiasi hiki miaka nenda miaka rudi.
Usimlazimishe mwenzako aamini unachoamini. Yeye anaona kuwa Usalama wa Taifa wapo na wana umuhimu mkubwa kwa taifa
 
Kani si imefikishwa bungeni na ndo maana hayo yametokea? Hivi kila taarifa wanayopata Idara ya Usalama wa Taifa ikipelekwa bungeni nchi itakalika kweli? Mie naamini kuwa hawa jamaa wana taarifa nyingi na nyeti. Maadili ya kazi yao ndo yanayosababisha kuwe na amani wakati wote vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana
Hoja hapa ni kuuzuia na si kila siku ku-deal na matokeo ya ufisadi.

TISS wanakuwa na taarifa kabla hata uharamia haujatendeka ila wanaopaswa kuchukua hatua kuzui huo uharamia ndio tatizo.

Kwa nchi yetu hii,TISS wanaponusa taarifa za uhujumu uchumi na ufisadi,taarifa hiyo isiishie Ikulu tu.

Jiulize ni kweli serikali haikujua kuhusu uharamia wa Escrow mpaka Kafulila alipoibua swala hilo bungeni?

Kwanini tuendelee kuamini huu mhimili mmoja tu wakati ni dhahiri hauminiki?

Kama tulipiga kura kwa fax na email,kwa hili tukiwa wa kwanza duniani kuna ubaya gani?
 
Acha ujinga wewe kwenye usalama wa Taifa kunagawiwa mabilioni ndani ya Ikulu!? Wanyama wa Taifa wanaibiwa na ndege toka nje ya nchi ambayo ndege yake ilitua nchini na huku usalama wa Taifa ukiwa umechapa usingizi!!! Hakuna usalama wa Taifa kuna usalama wa Mafisadi.

Usimlazimishe mwenzako aamini unachoamini. Yeye anaona kuwa Usalama wa Taifa wapo na wana umuhimu mkubwa kwa taifa
 
Kwani wewe shida yako ni TISS kupeleka hizo taarifa bungeni au taarifa kufika bungeni? Funguka Mkuu ueleweke vinginevyo yaonekana bado upo gizani
Kwa maoni yangu,taarifa zinazohusu uhujumu uchumi na ufisadi zipelekwe bungeni mara moja.

Hata taarifa zinazohusu madawa ya kulevya hazina haja ya kufanywa siri.
 
Kwani wewe shida yako ni TISS kupeleka hizo taarifa bungeni au taarifa kufika bungeni? Funguka Mkuu ueleweke vinginevyo yaonekana bado upo gizani

Hao usalama wa taifa wenyewe. .hamna kitu. .wa nashindwa kusema nani alichukua pesa stanbic
 
hoja hii ni muhimu sana na pengine wachangiaji waitafakari kwa kina.

mimi naona mtoa mada ameleta wazo zuri kabisa kwani katika nchi masikini kama hii yetu lipo tatizo la vikundi vya watu kuungana na kuanza kutafuta madaraka ya uongozi. wakipata madaraka watu hawa huchukua nyadhifa zote na kuanza kuvitumia vyombo vya nchi kwa maslahi yao binafsi.

vyombo hivi vinakuwa vinashindwa kufanya kazi kutokana na kutekwa vikanyimwa uhuru au watumishi kuwekwa si kwa weledi bali kwa kujuana. matokeo yake ni chombo kama hiki kutokufanya kazi yake ipasavyo.

ipo hatari kubwa katika nchi kama hizi zinazofanya mzaha na uongozi kuweka madaraka yote katika mikono ya kundi moja na sio kutawanya madaraka ili kubalansi nguvu katika jamii siku moja kundi kuteka madaraka yote na kuwafanya wananchi waote waliobaki watumwa daima au kuingia katika migogoro isiyoisha kwa wanaowekwa katika utumwa kutaka kutoka huko.

viongozi mnaokuwa mnamaliza mda wenu angalau tuachieni mfumo mzuri maana hamna cha kupoteza
 
Mkuu Salary Slip hakuna usalama wa Taifa nchini bali kuna usalama wa Mafisadi. Taifa lenye taasisi ya kusimamia usalama wa Taifa kamwe haliwezi kuwa na madudu kiasi hiki miaka nenda miaka rudi.
Kosa mali uwe na akili lkn hapa ndio unatuambia kua wewe ni juha wa mwisho
 
Mtoa mada ni bora ukose mali kuliko akili maana mali unaweza kurithi hata ujombani,unafikir hicho unachoandika ni rahiiiiisi kwel alaf unaandika jambo usilolijua
 
Mimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia.

Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii.

Taarifa zinaweza kwenda Ikulu lakini pia zinaeweza kufikishwa bungeni.Taarifa nyeti na za siri zinaweza kuwekewa utaratibu maalumu.

Tusijali hata kama tutakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na utaratibu kama huu bali tuangalie mazingira ya nchi yetu na hasa aina ya viongozi tulionao.

Ni imani yangu,utaratibu kama huu ungekuwepo,hizi kashifa zisingekuwepo au zisingekuwa za kiwango hiki.

Pia,sheria ibadilishwe ili taasisi hii isiishie kutoa ushauri tu bali iwe na mamlaka ya kuchukua hatua ili iweze kuepusha majanga kama haya ya Escrow.
Huu ni ujinga daraja la kwanza plus...
Futa wazo ilo mkuu..
Never will happen!!!!!!!
 
Mimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia.

Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii.

Taarifa zinaweza kwenda Ikulu lakini pia zinaeweza kufikishwa bungeni.Taarifa nyeti na za siri zinaweza kuwekewa utaratibu maalumu.

Tusijali hata kama tutakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na utaratibu kama huu bali tuangalie mazingira ya nchi yetu na hasa aina ya viongozi tulionao.

Ni imani yangu,utaratibu kama huu ungekuwepo,hizi kashifa zisingekuwepo au zisingekuwa za kiwango hiki.

Pia,sheria ibadilishwe ili taasisi hii isiishie kutoa ushauri tu bali iwe na mamlaka ya kuchukua hatua ili iweze kuepusha majanga kama haya ya Escrow.
Sio mkurugenzi tu bali taasisi kama alivyo Ag
 
Akili zako fupi ndiyo zimeishia hapo. Hujamsikia mtu anaitwa Lugumi? Hujawasikia wakwapuaji wa UDA akina Salma na Ridhwan Kikwete? Wote hawa wako kwenye ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali lakini Mungu wa Ikulu anawagwaya. jiulize kwanini anawagwaya.

Kosa mali uwe na akili lkn hapa ndio unatuambia kua wewe ni **** wa mwisho
 
Naona Salary Slip unataka kupolitisize shughuli za Idara ya Usalama wa Taifa. Vipi nafasi ya CAG, TAKUKURU na Polisi?
Umemsikia alichokisema Nape Bungeni jana?

Mawazo ya Nape na yangu yana tofauti gani?

Ipo siku mtatuelewa tu.
 
Back
Top Bottom