Mkurugenzi Manispaa Zanzibar amwagiwa tindikali

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimfariji Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Zanzibar Rashid Ali Juma (45) alipomtembelea leo katika Hospitali ya Aga khan jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu kutokana na kuumia vibaya sehemu za usoni, tumboni, kifuani na ubavuni baada ya kumwagiwa Tindikali na Mtu asiyejulikana, wakati alipokuwa amekaa nje ya Msikiti wa Amani mjini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Insha saa 2:45 usuku, siku ya Alkhamis . Kwa muujibu wa madaktari wanaomhudumia Mkurugenzi huyo, wamemuambia Makamu wa Rais kuwa hali yake inaendelea Vizuri.



©VPO.
 
Kukimbilia misikitini hakutasadia. Watatue matatizo ya watu na si kuwabebesha mizigo.
 
Wote waliofanya haya wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali sana

Je na hayo Mafisadi wanaotukandamiza sisi walalahoi wanachukuliwa hatua gani? Mi naona huyo mshikaji alimwagia tindi kali hakuwa na shaba ya kulenga macho. Dawa ya Mafisadi ndio hiyo sasa, Bado Lowassa, RA, Kikwete na wengineo. Tukifanya hivi katika kipindi cha miezi 6 tu nchi haitakuwa na Mafisadi tena. Mwaga Mwaga Tindi Kali kwa Mafisadi ndio dawa yao:wink2:
 
Wanawaonea wafanyabiashara ndogondogo kwa sheria zao za kipuuzi halafu wanafikiria nini?
 
Akome tena kufanya Ufisadi sasa hivi watu wameshachoka na tabia zao za kuwatetea wageni na kuwafukuza wazalendo sehemu zao za kujipatia riziki, wasome alama za nyakati. Na bado Mafisadi wote wanatakiwa kumwagiwa tindi kali ili wakome na wawe vipofu
 
Back
Top Bottom