Mkumbwa ali--jembe lililotupwa daily news!

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Binafsi nimesikitishwa sana na kitendo cha bodi ya TSN kutorenew mkataba wa mwandishi mkongwe aliyeiva kitaaluma Mkumbwa Ali kwa sababu zisizoeleweka.

Wengi wameshikia bango kiwango cha elimu alichonacho yaani Diploma in Journalism hakikidhi changamoto za nafasi aliyokuwa nayo kama Kaimu Mhariri mtendaji.

Unaweza ukasoma hadi PHD na usielimike,watu wangapi wana master's degree lakini huwezi kumtofautisha na muhitimu wa form six?

Elimu ni kipaji pia..mimi nadhani ni fitina tu na majungu ndiyo yamemwondoa jembe pale TSN...yule kilaza waliomweka anaweza nini katika nafasi ile?tungoje tuone.
 
Hapo ni utata, maana wapo waliosema anafuja mali za umma kwa maunfaa yake haangali wafanyakazi. Wengine wakasema hapa kwa jamvi kuwa anapendelea wafanyakazi wachache. Lakini walioko ndani ya TSN najua wapo hapa watakuja kutuambia tusubiri comments tuone kama ni jembe kweli.
 
Binafsi nimesikitishwa sana na kitendo cha bodi ya TSN kutorenew mkataba wa mwandishi mkongwe aliyeiva kitaaluma Mkumbwa Ali kwa sababu zisizoeleweka.
Wengi wameshikia bango kiwango cha elimu alichonacho yaani Diploma in Journalism hakikidhi changamoto za nafasi aliyokuwa nayo kama Kaimu Mhariri mtendaji.
Unaweza ukasoma hadi PHD na usielimike,watu wangapi wana master's degree lakini huwezi kumtofautisha na muhitimu wa form six?
Elimu ni kipaji pia..mimi nadhani ni fitina tu na majungu ndiyo yamemwondoa jembe pale TSN...yule kilaza waliomweka anaweza nini katika nafasi ile?tungoje tuone.

Kuna mambo mengi huyajui, ni bora kukaa kimya...
 
Unaonekana unawafahamu wote wawili, yaani aliyetolewa na aliyeingia, tusaidie uwezo wa aliyetoka na upungufu wa aliyeingia. Hata hivyo bodi ndiyo yenye sauti ya mwisho kuhusu uwezo wa kila mmoja.

Ameathirika na offer za bia za bure alizokuwa ananyweshwa, sasa jamaa yupo juu mawe. Hizi ni dalili za mtu anayeweweseka.
 
Back
Top Bottom