Mkulu na Michuzi, Michuzi na Mkulu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
b1.jpg Jamni wahenga walisema kila mchuma janga hula na wa kwao, michuzi si wa bongo hii tena....pichani akiwa nchini Botswana ambako Mkulu naye alikuwa huko, kwa taarifa Michuzi ndiye moiga picha wa Rais kwa sasa thus ni kupasua anga kwa kwenda mbele............popote atakapokuwepo Mkulu na Michuzi Hatakosekana........
 
Nikiingia ikulu nafuta kibarua chake, hana sifa kufanya kazi ikulu, ndio maana siri nyingi zinavuja, sehemu nyingi nyeti hazina watu wanaostahili.
Mkuu hizi ni Chuki binafsi ..
Sifa za kufanya kazi ikulu ni zipi? Na nisiri gani
hizo zimevuja ?
 
Mbona nishawahi kuiripoti hii tangu zaman alipoteuliwa?

View attachment 48247Jamni wahenga walisema kila mchuma janga hula na wa kwao, michuzi si wa bongo hii tena....pichani akiwa nchini Botswana ambako Mkulu naye alikuwa huko, kwa taarifa Michuzi ndiye moiga picha wa Rais kwa sasa thus ni kupasua anga kwa kwenda mbele............popote atakapokuwepo Mkulu na Michuzi Hatakosekana........
 
Hivi rais wetu anaona raha anaposifia maendeleo ya nchi zingine wakati kwake hali mbaya??? Yaani kila nikifikiria Tanzania, naumia sana. tuna kila kitu cha kutufanya tuwe na maendeleo. Hao Botwana wana madini tu ila cheki uchumi wao ulivyokuwa. Kwanini mungu asiwahukumu tu hawa viongozi wanaoharibu nchi yetu??
 
Mungu amewapa akili na hekima ya kuwahukumu wenyewe, kwa kura au njia nyinginezo lakini iwapo mnakubali kununuliwa kwa kipande cha kanga au kofia na fulana au kufuraia pombe za kienyeji na masufuria ya pilau, je mnataka Mungu afanyeje? Taabu na majuto tuyoyapata watanzania ni uamuzi wetu wenyewe wakupenda pilau na ulevi au vijikanganga... Mungu anakupa hekima uitumie... vinginevyo ujutie. Usimlaumu!
 
Nikiingia ikulu nafuta kibarua chake, hana sifa kufanya kazi ikulu, ndio maana siri nyingi zinavuja, sehemu nyingi nyeti hazina watu wanaostahili.
Kwani kushika Camera na kufotoa picha kuna hitaji sifa ya ziada? kwani wewe unataka ikulu wafanye kazi watu kutoka mbinguni? mbona Salva Rweyemamu tunakula nae supu ya ulimi pale MK KInondoni na poa tu.
 
Back
Top Bottom