Mkulo: Unaiponza serikali yako

Mkulo wewe ndio chanzo cha kila kitu, soma nyakati mzeee.
Kasheshe

Tatizo siyo Mkulo, tatizo ni JK. Mwezi Februari wabunge walimwambia awateme Dr. Mponda na Dr. Nkya, akasema NO.

Sakata la Jairo mpaka leo hii hakieleweki, wabunge wake hao hao wa CCM ndio walipeleka hoja, wakachunguza na kutoa maazimio, je, amefanyia kazi hayo maazimio mpaka leo?

Madudu makubwa kama hayo, Mkulo hawezi kuyafanya bila nod kutoka kwa Ikulu. Pia haiwezekani kuwe na ufisadi wote halafu Ikulu iwe kimya. Report aliyokuwa nayo Deo Filikunjombe iko mezani kwa JK siku nyingi sana.

Hapa kuna maswali mengi sana yanayoibuka. Kwanini JK anakuwa na kigugumizi cha kuwang'oa? Mwezi Februari walisema kwamba Dr. Mponda aliandika barua ya kujiuzulu, lakini JK hakukubali.

Hili sakata linanikumbusha sakata ya Richmond, watendaji wa serikalini ambao walitakiwa kuchukuliwa hatua wote waliondoka kwa amani na wengine bado wako serikalini wanadunda. Ukishaona hivyo, maana yake ni kwamba Ikulu nayo ilihusika na wanaogopa wakichukua hatua yoyote ile kwa wahusika inaweza ku-backfire.
 
Last edited by a moderator:
Mkulo akirudi bongo na kuendelea kuwa waziri Jk atakuwa na roho ya paka
 
Nyie hamjui mpaka leo? Tatizo ni Jk analipa fadhila coz wanakula wote kwani riz 1 utajiri katoa wapi?
 
Walisema yeye sio raia wa Tanzania; labda ni kweli; hana Uchungu wa kanchi kanaitwa Tanganyika na Zanzibar
 
Mkolo Jeuri anaitoa wapi? haogopi wenye nchi yao? au anategemea kinga iliyo juu yake? Akumbuke; All Bad Things Come to An End... Inatia uchungu.
 
Walisema yeye sio raia wa Tanzania; labda ni kweli; hana Uchungu wa kanchi kanaitwa Tanganyika na Zanzibar
kenda mwambia Balali alitumia mbinu gani ya kukiulongo? asipopata majibu naye atajikoli........
 
T68Gen3SniperPkgPistol__002569c.jpg
 
bado nashindwa kupata uhain wa mkuloo mwenye data hebu atupashe kwa makini amefanya nini hata aitwe mwizi
mwenye data aziweke tuzichambue..aweke moja baada ya moja ili tumhikumu..
 
Ameshindwa kuongoza wizara ya fedha, hivyo amesababisha miradi yote kusimama... and thus serikali ku-paralyse. ame-relocate 1.3Tr. bila idhini ya bunge.
 
Kasheshe

Tatizo siyo Mkulo, tatizo ni JK. Mwezi Februari wabunge walimwambia awateme Dr. Mponda na Dr. Nkya, akasema NO.

Sakata la Jairo mpaka leo hii hakieleweki, wabunge wake hao hao wa CCM ndio walipeleka hoja, wakachunguza na kutoa maazimio, je, amefanyia kazi hayo maazimio mpaka leo?

Madudu makubwa kama hayo, Mkulo hawezi kuyafanya bila nod kutoka kwa Ikulu. Pia haiwezekani kuwe na ufisadi wote halafu Ikulu iwe kimya. Report aliyokuwa nayo Deo Filikunjombe iko mezani kwa JK siku nyingi sana.

Hapa kuna maswali mengi sana yanayoibuka. Kwanini JK anakuwa na kigugumizi cha kuwang'oa? Mwezi Februari walisema kwamba Dr. Mponda aliandika barua ya kujiuzulu, lakini JK hakukubali.

Hili sakata linanikumbusha sakata ya Richmond, watendaji wa serikalini ambao walitakiwa kuchukuliwa hatua wote waliondoka kwa amani na wengine bado wako serikalini wanadunda. Ukishaona hivyo, maana yake ni kwamba Ikulu nayo ilihusika na wanaogopa wakichukua hatua yoyote ile kwa wahusika inaweza ku-backfire.

Atachukuwa hatua akipata kibali cha wazee wa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom