rosemarie JF-Expert Member Mar 22, 2011 6,887 3,412 Jun 7, 2011 #1 Wee mzee tuambie kazi yako ni nini kama sio kutafuta hela zitoke wapi,,kwani siku unaajiriwa pale ikulu hukupewa majukumu yako???ancha hizo wee mzee
Wee mzee tuambie kazi yako ni nini kama sio kutafuta hela zitoke wapi,,kwani siku unaajiriwa pale ikulu hukupewa majukumu yako???ancha hizo wee mzee
F FUSO JF-Expert Member Nov 19, 2010 31,635 37,846 Jun 7, 2011 #2 anataka desa huyu - chadema msimwambie.