Mkulo na Prof. Ndulu nawaomba mnijibu swali langu

Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
192
Hivi nyie mnaendeshaje hii. Ebu nijibuni ni lini tutaanza kutumia currency moja mana sasa hv hatuelewi huu mfumo wa kutumia noti za aina mbilimbili utaisha lini? Wageni wanatuona nchi nzima kama hatuna akili na nyie mpo tu mnakifanya hakieleweki kila siku exchange rate ya shilingi inapaa tu nyie kimya. Ebu tupen ufafanuz inakuwaje hapo?
 
Back
Top Bottom