Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

TAKUKURU is toothless dog...!hao wanatufumba macho tuwaamini wakati iko wazi....hao wanaenda kuripoti saa 3 asbh kwa ajili ya kupiga story na kunywa chai tu na zile sambusa za elfu 50.
 
itakuwa chama cha mizigo kinajianda kwenye uchaguzi wa 2015 si kwa nia ya dhati kuwa shtaki hao wezi wa mali za umma
 
Takukuru hatuna ila jina tu, hicho ni kichaka cha uovu. Sijui flash ya Nassari iko wapi waturudishie.
 
Back
Top Bottom