Mkulo atakiwa kuthibitisha au kufuta kauli yake dhidi ya kamati ya Zitto

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Mbunge Kangi Lugola wa CCM amesimama leo bungeni na kuomba muongozo kwa naibu spika kuhusu tuhuma alizozitoa Mustapha Mkulo kua kamati ya mashirika ya uma imekula rushwa kutoka CHC. Lugola amemtaka Mkulo kutoa ushahidi au kuomba radhi na kufuta kauli yake bungeni.
 
Spika kamwokoa na aibu aliyekuwa aipate kala sana pesa zetu huyu
 
ukiona hivi sjue si uzalendo unaoawasukuma kufanya hivi..wamegongana tu katika maslahi fulani fulani hivi
 
asigwa usiwe kipofu bwana kangi lugola na mkulo wapi na wapi ujue kangi siku zote ni mtu asiye mgwaya mtu ni mpenda ukweli halafu yule siyo gamba kama mkulo sema tu wewe ndo naona una maslahi na mkulo maana unamtetea sana
 
Hizi ni zama mpya. Hapo nyuma mbunge wa aina hii angeonywa kwenye vikao vyao vya chama, na akileta jeuri angetimuliwa uanachama wa magamba kitu ambacho magamba walijua hata uchaguzi ukirudiwa wangeshinda. Sasa hivi mambo ni tofauti sana. Nilianza kuona hofu ya magamba pale waliponywea baada ya kumhusisha Dr Kigwangala na ule mgomo wa madaktari. Komaa Kangi, tunataka kujua Mkulo alivuta kiasi gani kwenye uuzwaji haramu wa kile kiwanja (nyumba?) iliyokuwa mali ya serikali, wakileta za kuleta tutakupokea CDM.
 
Wamuhurumie mkulo jamani kishaacha uwaziri na anaumwa kisukari na ule ugonjwa mwingine wamuache apumzike other wise atapata stroke

nyie ndo mnaoshirikiana nao kuihujumu nchi angejitambua mapema asingeweza kufanya aliyoyafanya mbona hujawahurumia watanzania wanaokosa hata pesa ya mlo mmoja,
 
CCM wana mtu 1 tu ambaye hana kashfa ya ufisadi, naye ni Kangi Lugola. CCM wanaye mtu mmoja tu ambaye ana uwezo mkuubwa wa kukaa Ikulu na kuikoa nchi hii naye ni Lugola. Lugola haogopi mtu, haonei mtu, si fisadi na huyu mtazidi kumfaham as time goes on ....
 
Siasa uchwara ndio hizi,ingalikuwa ni Mbunge wa upinzani basi Spika angekuwa kashampa ban saa nyingi
 
asigwa usiwe kipofu bwana kangi lugola na mkulo wapi na wapi ujue kangi siku zote ni mtu asiye mgwaya mtu ni mpenda ukweli halafu yule siyo gamba kama mkulo sema tu wewe ndo naona una maslahi na mkulo maana unamtetea sana

Inawezekana Bw. Asigwa ni mmoja wa wakwe zake Mkulo. Inawezekana na yeye keshajaziwa mabilioni kwenye akaunti yake.
 
asigwa usiwe kipofu bwana kangi lugola na mkulo wapi na wapi ujue kangi siku zote ni mtu asiye mgwaya mtu ni mpenda ukweli halafu yule siyo gamba kama mkulo sema tu wewe ndo naona una maslahi na mkulo maana unamtetea sana

Nina wasiwasi na Asigwa, inawezekana akaunti ishajazwa mabilioni yanayofichwa na mhe. mkulo au mkwe....... maana sehemu kubwa ya marafiki wa mkulo ndo wakwe zake, laana yake haiko kwenye pesa za wizi za watanzania tu, na kutafuna na watoto wa wenzake
 
ukiona hivi sjue si uzalendo unaoawasukuma kufanya hivi..wamegongana tu katika maslahi fulani fulani hivi
hata kama wamegongana kimasilahi, ikiwa ni masilahi ya umma, apongezwe kangi lugola.hata hivyo, mkulo kuthibitisha ni jambo jema au kuomba radhi ilikusudi jamii ya watanzania tupate ukweli kwa tuhuma hii
 
Lugola ni mtanzania wa Kibara.
Anafaa kutetea hali duni za wana mwibara.
 
Back
Top Bottom