Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake

Huo ndio ulevi wa madaraka. Ukishalewa madaraka unakuwa kama zuzu hivi! Haujipangi wakati wa kuongea maana akili imelewa. Hauwezi tena kuwaangalia unaoongea nao ni akina nani na hauoni tena aibu/soni unapokuwa mbele za watu ndio maana maneno yanawatoka viongozi wetu kama vile wapo kwenye vikao vya komon/mnazi! Huo ndio ulevi wa madaraka.
 
Watanzania wasipolipa kodi, mawaziri watakula jasho lao?. Watanzania wanalipa kodi ndiyo hiyo inachangia kwenye maendeleo ya Nchi, assume wasitoe?
 
Hali ngumu sana! hivi zile ahadi za jk Kagera, kigoma, mtwara, mbeya na machinga complex sita flyovers, daraja la kigamboni Dsm nk nk.. Hana mshipa wa aibu huyu Mk..re.
 
mawaziri na kauli zao
1.malechela go to hell
2.msuya kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
3.mramba ikibidi mtakula majani ndege ya rais must be
4.mkulo kila mtu atakula kwa jasho lake
5.jk ukitaka kula shurti uliwe japo kidogo
Tafakari chukua hatua

Hii 5 imekaa sawa. Naamini JK si malaika, anakula. Hii ni kusema......? Nimecheka sina mbavu.
 
Haiishii hapo kwenye RED peke yake:

6. Wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao.
 
what! Hii serkali ya JK imejaa wanafiki kweli Si majuzi hapa WM wakati akizungumzia madhira ya umeme alisema uchumi wetu haujaathirika hata kidogo!!
 
mawaziri na kauli zao
1.malechela go to hell
2.msuya kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
3.mramba ikibidi mtakula majani ndege ya rais must be
4.mkulo kila mtu atakula kwa jasho lake
5.jk ukitaka kula shurti uliwe japo kidogo
Tafakari chukua hatua

Hii ya Msuya wabongo walidai eti amewatukana!
 
Mfumuko wa bei sasa wafikia asilimia 7.5! Hali mbaya Tanzania...


Food prices push Tanzanian inflation higher again

* Analysts see double-digit rate in second half

By Fumbuka Ng'wanakilala

DAR ES SALAAM, March 19 (Reuters) - Tanzania's year-on-year inflation rate rose for a fourth consecutive month in February on the back of higher food and fuel prices, staying in step with trends at east African neighbours Kenya and Uganda.

Tanzania's National Bureau of Statistics said on Saturday that consumer prices rose 2.2 percent in February, helping push the country's inflation rate to 7.5 percent from 6.4 percent a month earlier.

The International Monetary Fund said on Friday it expected food and fuel prices to drive inflation higher this year, and analysts warned on Saturday it could soon hit double digits.

"All signs show Tanzania's inflation rate is going up and up this year," said Honest Ngowi, an economics lecturer at Mzumbe University.

"Food production hasn't been good in Tanzania. The future is even worse for the inflation rate, because power is still a major problem, the fuel crisis is still biting and the Japanese earthquake could impact on global fuel prices."

The statistics office said in a statement that the food and non-alcoholic beverages component of the consumer price basket rose 3.0 percent in the month, after rises of 2.9 percent in January and 2.6 percent in December.

Food and non-alcoholic drinks have a 47.8 percent weighting in the consumer price basket, so they have a major impact on the overall inflation rate in the region's second largest economy.

The monthly food price rise left the year-on-year rate of inflation for the component at 9.2 percent, behind the inflation rate for housing, water, electricity, gas and other fuel, which was running at 11.1 percent in February.

Inflation rates in Kenya, Tanzania and Uganda, the three largest economies in the East African Community, last slowed in October. Since then, higher food and fuel prices have helped push year-on-year rates to 6 percent or above.

Tanzania had the highest inflation rate in February, ahead of Kenya's at 6.5 percent and Uganda's at 6.0 percent, and analysts said chronic power shortages in Tanzania may also contribute to rising inflation in the coming months.

"The inflation rate is going to accelerate further. We still haven't resolved the power crisis in the country," said Humphrey Moshi, an economics professor at the University of Dar es Salaam.

"The disturbances in the Middle East are spreading to more oil-producing countries. This will obviously lead to higher crude oil prices," he said.

"If the government doesn't take serious measures, we will definitely see a double-digit inflation rate in the second half of this year," Moshi said.
 
Sasa kama wizara tumeibinafsisha kwa mwekezaji wa Malawi, tutarajie nini zaidi ya kauli za kejeli kwa wazawa?
.
 
Yale yale "barabara mbilimbili juu na chini" mkishapata kila mbuzi ale urefu wa kamba yake na kila m2 atabeba msalaba wake. WATZ 2NAKWENDA WAPI? UTAPOROMOKA? Mi naona bora useme tu"umeporomoka" sina nia mbaya, uchumi wetu [wananchi] ulishaporomoka ila kwenu mpaka mwezi ujao. Watanzania wenzangu 2kaze buti kijacho ni zaidi ya sasa. kila ki2 bei juu walitaka uchumi uporomoke hadi wapi? Tunakwenda wapi? au Loliondo? :plane::car: ? basi kama hivyo ndivyo karibuni :welcome:
 
Wakuu, waziri wa fedha na uchumi Mustafa Mkullo, amekiri kuwa uchumi wa Tz utaanza kuporomoka mwenz ujao... na kwamba kufikia mwishon mwa mwaka huu eti utaimarika, alikuwa akizungomza na watalaam kutoka IMF...Ambao wamesema kama tatizo la umeme likiendelea uchumi utadorora na utaporomoka zaidi: Channel ten Habari

mwisho wa mwaka ukame utakuwa umeanza tena na mtera itakauka na mgao wa umeme utarudi kwa kasi zaidi, ari zaidi na madhara zaidi.

it a vicious circle of poverty in practice.

viva wachumi wetu!

Mungu atatunusuru

Glory to God
 
Wakuu, waziri wa fedha na uchumi Mustafa Mkullo, amekiri kuwa uchumi wa Tz utaanza kuporomoka mwenz ujao... na kwamba kufikia mwishon mwa mwaka huu eti utaimarika, alikuwa akizungomza na watalaam kutoka IMF...Ambao wamesema kama tatizo la umeme likiendelea uchumi utadorora na utaporomoka zaidi: Channel ten Habari

Uchumi utapewa maji ya uzima toka kwa babu yetu kule Loliondo. Hajui anachoongea huyu.
 
mawaziri na kauli zao
1.malechela go to hell
2.msuya kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
3.mramba ikibidi mtakula majani ndege ya rais must be
4.mkulo kila mtu atakula kwa jasho lake
5.jk ukitaka kula shurti uliwe japo kidogo
Tafakari chukua hatua

Ama kweli tunaishi kwa Neema tu, hapa nchini kwetu.
 
Mina mashaka na uwezo wa Mkulo katika nafasi anayo iongoza. SISI TUNAFANYA KAZI
TUNALIPA KODI, WAO WANAISHI MAISHA YA PARADISO KWA KODIZETU CC MATUAINI YETU YAMEBAKI LOLIONDO.
 
Back
Top Bottom