Kifupi mkwere kachemka sana na hii inaonyesha jinsi gani asivyo mweledi kwenye masuala ya kiitifaki. Kimantiki, kulikuwa hakuna haja na waziri Mkullo kwenda bungeni kusoma bajeti ambayo imekwisha somwa masaa 24 yaliyopita! Huku ni kuwapotezea muda wabunge na wageni wengine waliohudhuria kusomwa kwa "copy ya pili" ya bajeti.
Tukumbuke kuwa hadhara aliyokuwa akiihutubia Muungwana almost wabunge wote walikuwepo, sasa kulikuwa na haja gani ya Mkullo kwenda kurudia kitu kilekile kesho yake?
Hii hainishangazi sana mdanganyika kwa Mkullo kupokwa mamlaka yake (hotuba yake ilikosa mvuto/kitu kipya kwa sababu muungwana alim pre empty", hata Benard Membe ameshazoea kuingiliwa wizarani kwake!!
HAPANA MM; Kikwete ndiye kamdesa Mkullo