Mkuki na Ngao: Miaka 50 ya Uhuru TZ

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Wakati wa kumbukumbu ya mashujaa, mkuki na ngao huwekwa juu ya makaburi ya mashujaa, pamoja na sime.

Halikadhalika, pindi rais anapoapishwa, hukabidhiwa zana hizi kuashiria kitendo cha kuilinda katiba ya JMT.

Zana hizo bado hazijapitwa na wakati, kwani hata mwaka 2015, rais mteule atakabidhiwa baada ya kuapishwa.

swali :- Kwanini jana hazikuonyeshwa ili kuzienzi zana hizo ambazo akina Mkwawa na hata kwenye vita vya majimaji zilitumika?
- Nini mantiki ya rais kukabidhiwa zana hizo katika karne hii 21? iwapo jana tulishuhudia zana zile za kijeshi?
 
Ni Ishara ya kumkubali Rais kuwa Mtawala/shujaa wa jamii husika iliyomkabidhi Mkuki na Ngao
 
Wakati mwingine nahisi kama ni mazindiko. kwani anayemkabidhi mara nyingi ni wale wazee wa jadi.
 
Back
Top Bottom