Mkuki moyoni

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1025_ndolela.jpg


hapo lazima ujikwae tu!
 
Ali Baba's shoes. Appropriate in combination with Indian attire. Totally out of place on an African. An African in African attire. Performing African music ( I understand from Michuzi's blog this guy apparently won a Kili award for his music)
 
Mkuu utakuwa umesoma enzi za "Omari Hodari" na "Paulo usije kucheza na Sisi".
Au umesimuliwa?

Mkuu ni Makari hodari,
makari hodari kaenda safari yooho
katika safari kakuta hatri yohoo
......................
.....................

akampiga kimamba, mama yake kimamba madonda kalamba nitie kipamba mwananguu yohoo
 
ungekuwa unahudhuria harusi za kibongo hasa kwa wale watokao kanda ya ziwa 'ungemfahamu tu'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom