Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkude gangwe!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Apr 29, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Waluguru kwa sifa za kijinga siwawezi!Hebu cheki sentensi hizi. (i)Mkude gangwe kweli,kafukuzwa na simba toka porini kaja kamatiwa mlangoni! (ii)Mkude gangwe sana,kaenda mjini,kaibiwa viatu,karudi na ndala. (iii)Mkude alipokwenda kwa mjombake dar,aliiona fan(feni) na taa ya bulb kwa mara ya kwanza.Aliporudi kijijini matombo akasimulia kama ifuatavyo,"mjomba Mloka kaendelea sana,ana kipepea upepo,kinageuka kwa mjomba,kinageukia kwangu halafu kinamalizia kwa shangazi halafu vibuyu(bulb) vya mjomba ukigusa ukuta tu vinawaka.
   
 2. B

  Bobo Ashanti Senior Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alipomtembelea tena mjomba wake kwa mara ya pili siku moja wakati anavuka barabara pale Manzese aligongwa na gari akafa.Gari ile ilikuwa ni ya balozi anaewakilisha nchi yake hapa bongo.Basi mambo yalienda hivi kule kwao Mvuha,''mwe Mkude kafa kifo kizuri,kagongwa na gari ya balozi"
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Hii kali,alipoenda mara ya tatu je?
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,760
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Mkunde gangwe
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 18
  Mkude gangwe kweli, aliporwa mke na diwani wetu!..
   
 6. M

  Masuke JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,564
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 48
  mkude pia alipovuna mihogo kaenda kuuza yote sokoni, baadaye akaenda kununua tena huko huko sokoni, alivyoila akawa anashangaa mihogo hii mizuri yanukia kisokosoko.
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Mkude naye!eti,"bora nimpe kura yangu mwarabu akalie mbali kuliko kumpa kura mloka ale matunda ya ubunge namwona hapa hapa matombo!".
   
 8. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 1,534
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 63
  Mkude Gangwe bwana aligoma kuhama kutoka nyumba ya kupanga mpaka alipopigwa vibao na mwenye nyumba mkude wacha bwana wacha
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Mkude amsifia mkewe mama koba,"mama koba gangwe,nampa sh.500 ya matumizi,nikirudi nyumbani,nakuta pilau kuku na madikodiko kibao!"
   
 10. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 18
  Mkude gangwe kweli, ameandika ayafanyayo Jamiiforums bila uoga wowote!...
   
 11. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  tehtehetehe... kweli mkude gangwe...
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 21,069
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 113
  Hivi kumbe hata hawa nao wana vituko hivyo? MMMHH angekuja kipindi cha mgao wa umeme asingeiona feni wala vibuyu, sijui angesemaje
   
 13. K

  KILOTI Senior Member

  #13
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Balaa sana kumbe huyo MKUDE GANGWE.
   
 14. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,749
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  Mkude Gangwe yeye hapandi basi lingine lolote, wala kuangalia tv/radio ingine yoyote ila ile ya mwarabu!
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 48
  Mkude Gangwe kwelikweli, kamdindia Katibu Kata kulima shamba la kijiji......

  Mkude Gangwe kweli, kapanda Mabasi mawili (IKARUS) kalipa shilingi......

  Mkude Gangwe kweli, kapanda basi kutoka Morogoro badala ya kushukia Ubunge, kashukia Kariakoo, kamkomoa Dereva.
   
 16. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkude gangwe kweli, kakataliwa na demu kaenda kunshitaki kwa nkewe!
   
 17. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Mkude gangwe kinoma,kakodi pikipiki kufukuzia chenji ya sh.50 kwa konda wa hiace(kipanya)
   
 18. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 542
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ukabila mr
   
 19. s

  sugi JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,201
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  mkude gangwe,kakataza ukabila JF
   
 20. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,319
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eti kakataza ukabila JF kwel mkude Gangwe
   

Share This Page