Mkude akaribia kutua Yanga

Ubingwa hata tusipate kuliko kutawaliwa na wachezaji wajinga wanaoweka klabu kwenye blackmail za kijinga. Kutishia kwenda Yanga nenda na nauli utapewa. Kwani wangapi walikwenda?

Na waliokwenda walifanikiwa kweli pale...

Kuanzia :-

Yondani, Tambwe, Dida na Barthez...
 
Yanga huwa wanahitaji kukuna maana kuwashwa kumewazidi, ndio maana yule mzee mnoko alisema ana sofa jekundu kwake maana yake anawakalia simba na zulia jekundu anawakanyaga, hakutafakari akikanyaga halafu akikalia kinachotokea nini akishakalia
 
Mkude angetulia angekuja kuwa mchezaji mkubwa sana ila kwa tamaa zake mpira ndio umeishia hapo kama Kessy! Kama ni kwenda aende hana dhamani ya milioni 80
 
Ubingwa hata tusipate kuliko kutawaliwa na wachezaji wajinga wanaoweka klabu kwenye blackmail za kijinga. Kutishia kwenda Yanga nenda na nauli utapewa. Kwani wangapi walikwenda?
Acha aende atoe nafasi kwa wengine kwanza hana nidhamu
 
Mkude angetulia angekuja kuwa mchezaji mkubwa sana ila kwa tamaa zake mpira ndio umeishia hapo kama Kessy! Kama ni kwenda aende hana dhamani ya milioni 80
Naunga mkono hoja.... Mkude ni wa 10m... Hizo 80 aziandike chini kisha achukuwe.... Yanga mchukueni tena bureeee.... Hauzwi tunagawa bureee. Aende kama alivyoenda singano na mwenzake kessy
 
Usimuite Mamluki....

Tungemuita Tambwe kuwa ni mamluki ingekuwaje hivi sasa...?

Tungemuita Yondani ni mamluki ingekuwaje sasa....?

Wachezaji wengi wa simba wana ndoto za kuitumikia Yanga SC kwa sababu ni klabu pekee hapa TZ inayoweza kuwapa Mafanikio.
Hamjui kusajili... kioo chenu ni Simba SC

Ndoto itapatikana Jangwani..!?
 
Mkodisho fc.. kila mchezaji mzuri wa Simba wanamtaka

Safari hii kwa mkude hamuwezi nyinyi Simba B
Tangu lini timu B ikachukua ubingwa wakati timu A inashik nafasi ya tatu? Nyinyi ni Yanga academy na si vinginevyo, na huyo mkude anajileta mwenyewe baada ya kushindwana na viongozi wa mbumbumbu fc.
 
Unajua Mkude amefanya ujinga sana kuexpose mambo ya klub nje.Ukweli mchango wake umepungua sana,nafikiri ushawishi mwingi unamponza.Anapenda kuridisha mipira langoni mwake sijui kwanini.Mwacheni aende akazeekee huko maana atakua amezika nafasi yake.

Hebu tutajie wachezaji 10 wa Simba wenye mchango kwenye timu
 
Naunga mkono hoja.... Mkude ni wa 10m... Hizo 80 aziandike chini kisha achukuwe.... Yanga mchukueni tena bureeee.... Hauzwi tunagawa bureee. Aende kama alivyoenda singano na mwenzake kessy

Kwa hiyo kina Agban,Bukungu,Mavugo ndio wanastahili hizo 80 ?
 
Matatizo ya wachezaji Simba huwa yanaanzishwa na Hans Pope ,Yanga wakimsajili baadae ataanza kulalamika TFF inaipendelea Yanga
 
Una stress za Man United. Hapana Chirwa ndio anastahili milioni 200.Mchezaji Zulu hajacheza mwaka mzima unamsajili. Pesa za baniani kwani mna uchungu nazo.
 
Hebu tutajie wachezaji 10 wa Simba wenye mchango kwenye timu
Swali la kijinga ajabu.Una maana Simba anacheza mchezaji 1 kwa sababu timu inakuwa na wachezaji 11.Hao 10 unawauulizia walikuwa benchi kama hawana mchango?Bangi za ukubwani mbaya.
 
Swali la kijinga ajabu.Una maana Simba anacheza mchezaji 1 kwa sababu timu inakuwa na wachezaji 11.Hao 10 unawauulizia walikuwa benchi kama hawana mchango?Bangi za ukubwani mbaya.

Unarukia post za wanaume still unaongea pumba,ligi ikiisha mtaanza kulialia Yanga inabebwa wakati matatizo mnayatengeneza wenyewe
 
Wacha kuandika ujinga hutajibiwa.Umeuliza ujinga eti taja wachezaji 10 wenye mchango kwenye timu ya Simba. Post zako binafsi andikia private. Hapa ukileta pumba utajibiwa pumba.
 
Soma tahariri ya Habarileo kuhusu TFF na timu fulani na mwenendo wa ligi ndio utaelewa kwanini timu zinalalamika.
 
Ubingwa hata tusipate kuliko kutawaliwa na wachezaji wajinga wanaoweka klabu kwenye blackmail za kijinga. Kutishia kwenda Yanga nenda na nauli utapewa. Kwani wangapi walikwenda?
Ndio maana mnalitafuta kombe kwa tochi mwaka wa nne
 
Back
Top Bottom