Mkuchika, mbona unatuangusha!

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Bwana Mkuchika nimekusikia leo jioni bungeni. Mbona unakuwa na jazba. Tatizo ni kuwa CCM mnajiona mna hati miliki ya Tanzania/muungano. Not at all.

History teaches, nadhani hamkutegemea kuwa upinzani ungeliwashinda katika chaguzi mbali mbali. Historia itakuonyesha, tuombe tuwe hai!

Katika watu wenye busara CCM wewe mimi naweza kujivunia, lakini leo umenitia mashaka!
 
Tatizo huyu mzee ni mshamba, ndio maana mpaka leo kijijini kwake ameshindwa kuwawekea umeme japokuwa unapita hapo hapo. Huyu mzee hashauriki kwa sababu siku zote huwa anadhani yuko sahihi zaidi ya watu wote na hivyo hastahili kukosolewa ndio maana huwa ana-tendency ya kuhamaki anapobanwa kwa maswali. Silaha ya mtu mwenye udhaifu wa kutojiamini, hasa kama anajitia kujua sana wakati hajui, ni jazba.
 
Nashukuru umeliona kama mimi. Jazba ni dalili za kutojiamini. You can drive a point home by gently talking to your opponents!!!
 
Ndugu George Mkuchika..

Leo Rais Magufuli ameona ni vyema Mkuchika akarudi kuiongoza Wizara ya Utumishi na Utawala Bora. Analenga matokeo gani kwa mwenendo wa nchi?!

Muda utaamua!
 
Back
Top Bottom