Mkosi gani huu jamani!

Access Denied

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
655
209
Jamaa mmoja kaka zakee
Baa
huku akiangalia Glasi yake
yenye
Bia ,akiwa katika pozi hilo
kwa
muda wa nusu saa...
Mara Gafla akazama Dereva
wa
Lori mwenye Masihara
mengi na
akamsogeleaa ,
akampokonya
Glasii ghafla ilo jaa Biaa na
kunywaa Yotee...
Baada ya Sekunde tatu
Jamaa
akaanzaa kuliaa , derevaa
huyoo
akamgeukiaa
akamwambia
"yalikuwa masihara
mkubwa
wewe hujazoea matani ,
nitakununuliaa Bia
ingine ,siwezi
vumiliaa ona mtu mzima
akiliaa
noma hizoo "
"hapana sio hivyoo Leo ni
siku
mbaya sana Maishani
mwangu ,
kwanza kabisa nilipitiwa
na
usingizi nikachelewa
mkutano
muhimu kazini kwangu
Bossi
akanifukuza kazii"
" nilipo toka ktk Jengo la
Ofice
posta kwenda ktk gari
yangu
nikakuta gari imeibiwa na
polisi
wamenipiga saundi
uchunguzi
unaendelea na gari
litaendelea
kutafutwa ,nikachukua tax
hadi
home nikamlipa dereva ,
mda
kidogo nikakumbuka
nimeacha
pochii kwenye taxi"
" nimeingia ndani kwangu
nakuta
Mke wangu yupo kitandani
na
House Boy wangu,
nikaamua
kuondoka home nikiwaa
na
hasira na msongo wa
mawazo
nikaja ktk hii Baa , mda
ambao
nimekaa hapa nawaza
kukatisha
maisha yangu ,ukatokea
wewe na
kunywaa Sumu yangu ktk
BIA "
 
Jamaa mmoja kaka zakee
Baa
huku akiangalia Glasi yake
yenye
Bia ,akiwa katika pozi hilo
kwa
muda wa nusu saa...
Mara Gafla akazama Dereva
wa
Lori mwenye Masihara
mengi na
akamsogeleaa ,
akampokonya
Glasii ghafla ilo jaa Biaa na
kunywaa Yotee...
Baada ya Sekunde tatu
Jamaa
akaanzaa kuliaa , derevaa
huyoo
akamgeukiaa
akamwambia
"yalikuwa masihara
mkubwa
wewe hujazoea matani ,
nitakununuliaa Bia
ingine ,siwezi
vumiliaa ona mtu mzima
akiliaa
noma hizoo "
"hapana sio hivyoo Leo ni
siku
mbaya sana Maishani
mwangu ,
kwanza kabisa nilipitiwa
na
usingizi nikachelewa
mkutano
muhimu kazini kwangu
Bossi
akanifukuza kazii"
" nilipo toka ktk Jengo la
Ofice
posta kwenda ktk gari
yangu
nikakuta gari imeibiwa na
polisi
wamenipiga saundi
uchunguzi
unaendelea na gari
litaendelea
kutafutwa ,nikachukua tax
hadi
home nikamlipa dereva ,
mda
kidogo nikakumbuka
nimeacha
pochii kwenye taxi"
" nimeingia ndani kwangu
nakuta
Mke wangu yupo kitandani
na
House Boy wangu,
nikaamua
kuondoka home nikiwaa
na
hasira na msongo wa
mawazo
nikaja ktk hii Baa , mda
ambao
nimekaa hapa nawaza
kukatisha
maisha yangu ,ukatokea
wewe na
kunywaa Sumu yangu ktk
BIA "
Ahahahaaaaaa, kazi kweli kweli!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nimesoma hii hapa before.
hata na hivyo ntaisoma mara kumi bado
inanifurahisha sana .. "Love It" thanks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom