mkopo wa haraka......

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
mysteryman 18:53 Today
wakuu ninahitaji mkopo wa milion
moja wenye riba nafuu.....nitarejesha
baada ya miezi minne na uwezo
wangu au riba isizidi laki tatu kwa
miezi yote minne.....nina kiwanja kipo
kinyerezi, kadi ya gari au leseni na tin
namba ya biashara.....vyote vyaweza
tumika kama bondi.......mwenye
uwezo wa kunisaidia tafadhali......
 
Back
Top Bottom