Mkopo wa Fedha

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,430
1,446
Wana JF. Nisaidie natafuta mkopo wa fedha kidogo nimepata dharula, yeyote anaye fahamu wanapotoa au mtu anayekopesha kwa riba anijulishe hapa
 
Inshu siyo kukopa tu, sema una kitu gani cha kuweka ili watu wakukopeshe!
 
we mwenyewe umeweka jina la bandia huku nani akukopeshe?
andika jina la ukweli uni pm nikutoe.
 
Au kama una laptop niuzie kwa bei ya dharura mkuu...aah kitu gani bwana si utanunua nyingine
 
nenda taasisi za kifedha kama bank au microfinance utapata, cku nyingine weka maelezo ya kutosha unataka kiasia gani kwa muda gani una security gani! au wataka vya bure bure
 
Mkuu nakushauri ungeweka maelezo ya kutosha ili mwenye kukusaidia akusaidie.
 
Wana JF. Nisaidie natafuta mkopo wa fedha kidogo nimepata dharula, yeyote anaye fahamu wanapotoa au mtu anayekopesha kwa riba anijulishe hapa
Mimi naweza kukukopesha mradi tu ukubaliane na dhamana nitakayoipendekeza. Kama mke mweke dhamana nikukopeshe, ukishindwa kulipa ....!
 
Ni kweli unakopa au unatania? Mbona uko kimya tu hata kwa maswali ya msingi uliyoulizwa na wadau. Kama unatania donkey{punda} hili ni jukwaa la siasa
 
usitutanie hapa tunaeleza vitu vya ukweli sio una ulizwa maswali una kula kona. Nakama umeshapata utujulishe, tutashindwa kukusaidia siku nyingine.
 
Jaman mimi mama cha natafuta mkopo wa fasta wa 4m nitaweka bond ya hati ya kiwanja cha kupima kibaha mailmoja mwenye kuweza kunisaidia ani-pm
 
Na nyie muwe na akili, msiwe mnakurupikia kulaumu,
Msg ilikuja toka April,
Muhuni mmoja anaekazaga kuku akaja akai-huisha mwezi huu,
Utajuaje labda jamaa alifungua ID kwajili hiyo na alishapata.
Tuwe tunachangia hoja ambazo ni current
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom