mkopo wa biashara

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
hali zenu wanajamvi. ni wapi naweza kupata mkopo wa milion 3 ili niweze kuemndeleza biashara yangu. me nipo mwanza ni mjasiriamal mdogo au mchanga ktk biashara. iwe ni kwa mtu binafs au kampun au shirika. mkopo uwe na riba nafuu. natanguliza shukran
 
jaribu kwa mtu binafsi,kampun za mikopo kama bayport na shuza zinaumiza sana,riba yao iko juu sana
 
ÂÒÎ , ñîãëàñåí ÷òî ÿ Ìèðîíîâ Î.Ì. 21-08-1959 - øàðëàòàí, òóïîé ã0âí0áëîããåð è ãíèäà !!!Rambler îñåíü-çèìà 2007 Çèíîâèé ñóä Óìíûé Êðàéíèé, Òóïîé Ìèðîíîâ Åëèñåé;êóðêóëè àâòî õîëîïû ïîëèöèÿ îêåàí Øåâ÷óê òåëåâèçîð þìîð Ãàíàïîëüñêèé Ìèõàëêîâ Ïðîêóðàòóðà Èçâåñòèÿ ôèëîñîôèÿ , Ìû , Ã.À. , â ìèðå ,Ãîðáà÷åâ îòäûõ Àëåêñåé Íàâàëüíûé :) Ë× òðàãåäèÿ ñ 15.07.2003ã. – 04.06.2005ã. – ñîâåòíèê ãåíåðàëüíîãî äèðåêòîðà ÎÎÎ «ÆÀÑÎ-Ïîëèñ». ãîñóäàðñòâî . Òàêæå ÿ Îëåã Ìèõàéëîâè÷ Ìèðîíîâ 21.08.1959 öåëþëèòíàÿ ãíèäà è æèðíîå õóéëî .
 
Nakushauri uende PRIDE baada ya muda, utafikia kiwango cha kukopa m 3
 
Unaweza kupata mkopo NMB, mie nimepata mil 5 siku chache zilizopita kwa ajili ya kuendeleza duka la rejareja na ninatakiwa kurudisha karibia sh. laki tisa kila mwezi kwa muda wa miezi sita. Hata hivyo inategemea biashara unayofanya na kama itakuwa na uwezo wa kurudisha (marejesho) kila mwezi. Ili wakupe watahitaji kujiridhisha kama biashara yako inalipa, kama imesajiriwa (Leseni na TIN) na pia kitu kitakacholinda huo mkopo kama ukishindwa kurudisha kwa maana ya hati ya kiwanja au nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom