King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,632
- 68,560
naongeza
6.FAIDIKA
7.REAL PEOPLE
Anayewajuwa wengine ongezea list hapa
Haaaa kabisa ndio hao hao wanaumiza walimu kweli.
naongeza
6.FAIDIKA
7.REAL PEOPLE
Anayewajuwa wengine ongezea list hapa
Beyport ni kampuni ya mama Anna Mkapa na kweli ni wezi hata bungeni Mh. Ereasto Zambi alishatoa mararamiko yake lakini hakuna aliemsikiliza
mkuu niwe tofauti na wewe kidogo hii kampuni nimeifanyia reserch sana, mama mkapa siyo anaemiliki kwa 100% hii kampuni inamilikiwa na watu wa South Africa ila kweli mama mkapa ni moja wa ma-director wa hiyo kampuni na anamiliki share 1 (na hii alipewa kutokana na sheria ya makampuni lazima pawepo na shereholder mmoja mzawa), kumbuka hawa jamaa waliingia bongo wakati akiwa 1st lady so si ajabu alivuta chake mapema.
kama nilivyosema hapo juu kopa bayport kwa sababu maalum na ikiwa umeshindika knye mabenk na huna altenative yoyote. riba yao ni kubwa sana wastani wa 6% per month, ukiileta kwa mwaka ni 72% hakuna bank inayocharge ribakama hiyo duniani
Mi nmekopa m5 nmeambiwa nrudishe m10.7 dah Bayport sio watu nyie . 😭jamani nauliza hawa jamaa wanaaminika?kama uliwahi kopa kwao naomba taarifa pls!
Hizi ndo taasisi zinazoeleweka Tanzania na wala hawatumii nguvu nyingi kujitangaza manake uadilifu wao unajiuza tayari.Kakope crdb, nmb,stanbic, bank of africa, (boa) equity.
Ila hzo microfinance achana nazo kabisa.
🤣 🤣 🤣 Pole sana best,imekuwaje umekwenda tena huko licha ya utandawazi huu wa sasa? Anyway,sasa hivi inaelekea watakuwa wanahurumia wateja kidogo,zamani mtu ulikuwa ukikopa 1M unajikuta unarudisha mpaka 4M 🤣 🤣Mi nmekopa m5 nmeambiwa nrudishe m10.7 dah Bayport sio watu nyie . 😭
Yaani mpaka leo bado kuna Watanzania mnakopa bayport, finca, platinum, nk!!! Kwa hali wacha tu ccm iendelee kututawala kwa kutumia mabavu na hila.Mi nmekopa m5 nmeambiwa nrudishe m10.7 dah Bayport sio watu nyie . 😭