Mkopo kwa ajili ya biashara

Ntawezaje kupata mkopo kwa ajili ya biashara. Ntawezaje kupata?

Kama hiyo biashara umeisha ianzisha tayali, piga namba hii utapata maelekezo 0755 980350.

Sina uhakika kama hao jamaa wanatoa mkopo kwa kuanzisha biashara.

Mie naendesha biashara yangu kwa mikopo yao, wanahitaji kutembelea biashara ili wakupe huo mkopo.

Kila la kheri!
 
Jamani na mmi nahitaji kuendeleza biashara yangu na nahitaji milioni na laki mbili
 
Back
Top Bottom