Mkopo kuanzia 50,000/=...mpaka 1000,000/=

Hii ni kweli jamaa anatoa .mkopo kweli ila utimize vigezo,mimi nilimpigia nikaonana naye, nimechukua mkopo wa TZS.500,000/=,nitarudisha Tzs.700,000/=. kuna jamaa amechukua TZS.1000,000/= atalipaTZS. 1400,000/=,jamaa anakopesha. hata 2m,3m na kuendelea ila utimize vigezo.
Post moja halafu ukatimka zako... Au ndio mkopeshaji?
 
Jamani number za kwanza sijapokelewa ila ile ya voda kapokea kisha imekatika
sasa nimetuma message mbona hajibu au kweli matapeli?
 
...Kuna Dogo wangu aliposoma hapa amehangaika sana na hizo namba. Mara zote hazipatikani, mara anaambiwa tutakuja kwako jumamosi, mara jumanne mpaka leo wiki ya Tatu hajapata lolote hata kuonana tu na hao Wakopeshaji. Nimemuambia aanze kushituka. Tufahamishane Wakuu, kuna yeyote ambaye ameishapata mkopo kutoka kwa Waheshimiwa hawa?? ...Na anayejibu asiwe na post 2 ama 3 tu, tutamshitukia...!
 
Back
Top Bottom