Mkopo bank kwa kutumia shamba

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Wakuu, nina shamba kama ekari 100 za miti mfundi yenye miaka 10, nataka nitumie shamba hili kupata mkopo bank kwa ajili ya biashara.

Naomba kujua ni bank gani inaweza kukopesha kwa dhamana ya shamba?

Pili ni taratibu zipi zinatumika hadi kupata mkopo kwa kutumia shamba?

Asante
 
Shamba limepimwa pia linahati
 
Wakuu, nina shamba kama ekari 100 za miti mfundi yenye miaka 10, nataka nitumie shamba hili kupata mkopo bank kwa ajili ya biashara.

Naomba kujua ni bank gani inaweza kukopesha kwa dhamana ya shamba?

Pili ni taratibu zipi zinatumika hadi kupata mkopo kwa kutumia shamba?

Asante
Mkuu shamba lako umepima na kupata hati?
Ikiwa umepima na kuwa na tittle d utapata pesa nzuri na karibu bank nyingi za kibiashara watakuelewa
 
Back
Top Bottom