Mkono wa serikali kesi ya Lema,mwisho wa mbio za Chande kumrithi Ocampo

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Jaji Mkuu wa Tanzania Chande Othman ni miongoni mwa waliotajwa kurithi nafasi ya mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya makosa ya uhalifu Moreno Ocampo.

Kitendo cha Serikali kujifanya kinyonga na kuingilia uhuru wa mahakama kama ilivyofanyika Arusha ni sababu tosha ya kumtoa Chande kwenye kinyang'anyilo hicho.
 
asipotoka, si ataendelea kutumiwa kupindisha haki kwa faida ya watawale wetu hapa? inaweza kuwa blessing in disguise akitoka aende huko kwa ocampo. au labda watawala wameshaona kuwa in a near future, wanaweza nao kupelekwa kwa ocampo, so wanajiandaa mtu wao ili hoja ya wao kushitakiwa kwa ocampo isije pata nguvu na hata wakishitakiwa wasijepatikana na hatia... kumbuka watawala huwaza mbali na kila mara hutazama jinsi ya kujikinga
 
Ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania umezidi, na sijawahi kumsikia hata mara moja huyu Chande akiongea kuhusu hili. Polisi wanauwa raia wasio na hatia, vyombo vya dola vinakiuka sheri, mahakama zinafanya kazi kwa shinikizo la wanasiasa lakini jaji huyu amekuwa kimya! Kwa maoni yangu Chande hafai hata kuosha vikombe vya chai huko mahakama ya kimataita. Hafai hafai hafai.
 
Napokea Bahasha ya Ocampo oh lakini naogopa oh(singing),Wanasiasa wanabonga more thus why kwa parliament kuna speaker joh
 
Back
Top Bottom