Mkono is nothing bana!
Next time utakaposawalimu wazazi wako tumia mkono wa kushoto.
Nawasalimia wazazi wangu na mkono wowote sijawahi hata siku moja kuona mmoja wao anaumwa au amepata matatizo kutokana na mimi kumpa mkono wa kushoto.. Yah! kama mzazi bado yuko pangoni kifikra akakumaindi tu...
It is a sign of respect and nothing more.
Since when and why??
Ukitaka kumtawala mtu kirahisi tawala kwanza utamaduni wake
Huu ni utamaduni wetu, na tumekuwa tukifunndishwa adabu na utii toka kwa wazazi kuhusu matumizi ya mikono. Kwahiyo kwenu kuchambia mkono wowote ni sawa tu, kutumia mkono wowote kumega tonge la ugali ni sawa tu, ukiamua kula chakula kwa mkono wowote ni sawa tu!! shame on you
Mmetawaliwa mpaka kwa utamaduni wenu. Mimi nimekuzwa kwa kujua ukipewa kitu pokea kwa mikono miwili, kisha shukuru (asante baba, mama, kaka, n.k), huwezi kuongea wakati unakula, hasa wakiwapo wakubwa (wanaokuzidi) hiyo ni table manners, huwezi kuwa wakwanza kupakua chakula mezani, huwezi kuanza kunawa mikono, au unamaliza kula na kunyanyuka unaondoka wakati wakubwa bado wanakula.
Sasa kwa ujinga wenu na kufuata ya hawa wajinga wazungu mnafikiri ndo maendeleo, haya bana fuateni lakini muwe na uhakika mnaharibu utamaduni wenu wenyewe. Utamaduni wao ni sawa, lakini wa kwenu ni wa kishenzi!! utamaduni wao ni ustaarabu (civilization) utamaduni wenu ni ushenzi (barbaig)
Kazi tunayo waalimu huku vyuoni, zamani kuona ****** inabidi utoe chupi, sikuhizi kuona chupi inabidi utanue ******
Wale wale.. Kushabikia mambo wasiyofahamu.. Kwa kifupi I hate this kind of cr*p kwa sababu tu mtu yuko tofauti na wewe mnaweka Bias za ajabu.. Kwa hiyo ukitumia mkono wa kushot freemason?? What the heck!! Thought hii forum for great thinkers na sio thinkers.. Wake up!!
Unajua nini Bosi Michembe, unapobisha kitu jitahidi kubisha kitu unachokifahamu vizuri maana unaweza kujikuta ukionekana mpumbavu kwa kubisha kitu usichokifahamu. Nakushauri nenda kwanza ukatafute na usome kwa makini kuhusu hawa freemasons kabla ya kubisha halafu ukishamaliza ndio uje hapa kubisha. Just go on google and search everyhting about freemasons including their signs na watu maarufu ambao ni freemasons. Sawa mkuu?
So ukitumia mkono wa kushoto automatically ni free mason or whatever it is?? I am left handed naturally so am I automatically a free mason?? Kwa hiyo Obama na Cameroun ambao ni mashoto automatically ni freemason?? Ebu nieleweshe mkuu.. Hao wanaotajwa as freemasons wamewahi kwenda on public kukubali au ndio assumptions kuwa flani freemason sababu tu kaonyesha sign flani?? Why should I google search kitu nnachoona ni riwaya ya tu na nisichotambua uwepo wake. The ishu kama umesoma heading ni mkono wa kushoto...
Ndio maana nikakwambia mkuu kasome kwanza kila kitu kuhusu freemason kabla ya kusema chochote. Mimi nakwambia kwa sababu nimesoma na ninafahamu. Sasa na wewe pia nenda kasome ufahamu halafu ndio tuje tubishane. Sawa mkuu?
wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu
wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu
.Naunga 99%Ukitaka kumtawala mtu kirahisi tawala kwanza utamaduni wake
Huu ni utamaduni wetu, na tumekuwa tukifunndishwa adabu na utii toka kwa wazazi kuhusu matumizi ya mikono. Kwahiyo kwenu kuchambia mkono wowote ni sawa tu, kutumia mkono wowote kumega tonge la ugali ni sawa tu, ukiamua kula chakula kwa mkono wowote ni sawa tu!! shame on you
Mmetawaliwa mpaka kwa utamaduni wenu. Mimi nimekuzwa kwa kujua ukipewa kitu pokea kwa mikono miwili, kisha shukuru (asante baba, mama, kaka, n.k), huwezi kuongea wakati unakula, hasa wakiwapo wakubwa (wanaokuzidi) hiyo ni table manners, huwezi kuwa wakwanza kupakua chakula mezani, huwezi kuanza kunawa mikono, au unamaliza kula na kunyanyuka unaondoka wakati wakubwa bado wanakula.
Sasa kwa ujinga wenu na kufuata ya hawa wajinga wazungu mnafikiri ndo maendeleo, haya bana fuateni lakini muwe na uhakika mnaharibu utamaduni wenu wenyewe. Utamaduni wao ni sawa, lakini wa kwenu ni wa kishenzi!! utamaduni wao ni ustaarabu (civilization) utamaduni wenu ni ushenzi (barbaig)
Kazi tunayo waalimu huku vyuoni, zamani kuona ****** inabidi utoe chupi, sikuhizi kuona chupi inabidi utanue ******
Hivi wewe ombaomba unawadharau,halafu unataka heshima kwa kupewa mkono wa kulia,very strangeHiyo ni ishara ya dharau inayotolewa kwa ombaomba.
Alimpa kifimbo... yes that is true...:lol::lol:
Mwaipungu