Mkono wa kushoto vipi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
nilihadithiwa kuwa malkia alishawahi kumpa nyerere mkono akiwa amevaa gloves Nyerere akampa kirungu/kifimbo
d3vam.jpg
 
wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu
 
Alimpa kifimbo... yes that is true...:lol::lol:

Huyu Bush 43 mkono wake wa kushoto ndio anaofanyia kila kitu[ left handed] kwahiyo ni rahisi kwake kumpa mtu mkono wa kushoto kuliko wa kulia!! Nyie wadanganyika acheni tafsiri zenu za hovyo ndio maana kazi yenu kucheka cheka tu!!
 
:thinking: Kweli??? ndiyo maana tumejumuishwa wadanganyika wote
 
Huyu Bush 43 mkono wake wa kushoto ndio anaofanyia kila kitu[ left handed] kwahiyo ni rahisi kwake kumpa mtu mkono wa kushoto kuliko wa kulia!! Nyie wadanganyika acheni tafsiri zenu za hovyo ndio maana kazi yenu kucheka cheka tu!!

Kama prezidaa wao anavochekacheka!
 
Bush kanuna kwamba jamaa ni msumbufu wakati jamaa anacheka

Two contrasting things
 
nilihadithiwa kuwa malkia alishawahi kumpa nyerere mkono akiwa amevaa gloves Nyerere akampa kirungu/kifimbo
View attachment 49038

Queen ni natural born left handed hivyo ukisalimiana nae lazima ule mkono wa kushoto ila kwa fikra zetu za kimaskini ukipewa mkono wa kushoto umedharauliwa hivyo ticha Nyerere nae aliona kadharauliwa.. Mudhihir Mudhihir nae ni natural born left handed kapata ajali now he is left with his left hand kwa hiyo kibongobongo mnataka awasalimie vipi?? Kwa mguu wa kulia au?? Kingine Bush huyu sio left handed baba yake ndio left handed ametoa mkono wa kushoto sababu ya urahisi na asiStress mkao wake..
 
Freemasons utawajua tu.

Wale wale.. Kushabikia mambo wasiyofahamu.. Kwa kifupi I hate this kind of cr*p kwa sababu tu mtu yuko tofauti na wewe mnaweka Bias za ajabu.. Kwa hiyo ukitumia mkono wa kushot freemason?? What the heck!! Thought hii forum for great thinkers na sio thinkers.. Wake up!!
 
Back
Top Bottom