Mkono wa iddi kutoka chadema london

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747

LONDON

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAWI LA LONDON
TUNAWATAKIA IDD MUBARAK WAISILAMU WOTE DUNIANI
SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM
CHADEMA BLOG UK


 
lakini wasikatae kuhesabiwa kwenye sensa maana waislamu wengi wana mawazo finyu uislamu kwenye sensa haumsaidii yeyote tatizo ni uongozi wa juu unawaendekeza wapuuzi wenzao.
 
lakini wasikatae kuhesabiwa kwenye sensa maana waislamu wengi wana mawazo finyu uislamu kwenye sensa haumsaidii yeyote tatizo ni uongozi wa juu unawaendekeza wapuuzi wenzao.
Wewe umetumwa kuwachonganisha ndugu zetu waisilam na CDM.
 
uisilamu umeingia vp hapa .wapo waislamu wengi cdm but dhihaka kwa waislamu itaondoa wengi
 
uisilamu umeingia vp hapa .wapo waislamu wengi cdm but dhihaka kwa waislamu itaondoa wengi
Kwa hilo halina mashaka kwa jinsi pro-chadema waliopo hapa JF wanavyo wadhihaki Waislam na Uislam litazidi kuwa waeka Waislam na Chadema mbali ,nimechuunguza thread nyingi za kidini wengi wa washabiki wa Chadema wamekuwa wepesi kuchangia na kuwadhihaki Waislam!
Inaweza kuwa kuna indivinduals kama washabiki wa Chadema kwa utashi wao wakifanya hivyo ,kuna viongozi wengi wa Chadema wanapita sana hapa JF lakini wanashindwa kutoa tamko lolote kuwa hao wanaojiita washabiki wa Chadema ni watu binafsi wala hawahusiani na chama ili angalau wanachama wao amabao ni waumini wa kiislam wajue hawa wanaokejeli Uislam hawahusiani na chadema
Lakini no one in Chadema bothers including msemaji wao!Chadema ikimbuke ili iweze kufanikiwa katika harakati zao wasidhani bila Waislam watafanikiwa whether Muslims ara minority au majority Chadema bila support ya dini zote hapa nchini wasahau kuchukua nchi.
Naongea na waumini wengi wa kiislam kwa kweli majority wana wasi wasi na chadema,tena kama wengi wao watakuwa na access na JF ndiyo kabisa watakata tamaa na Chadema
Nashindwa kupata picha hawa wanachadema waliopo hapa JF ni wanachadema wa ukweli au kuna system ipo hapa JF kutaka kuiharibia chadema!Na kama wanachadema wa ukweli then I feel sorry for Chadema hawaikijengi chama chao zaidi ya kukiweka apart chama na Waislam!


l
 
Si lazima kila anayetoa maoni hapa JF anaakisi sera za CDM zaidi wapo wengi wanaofanya kazi waliyotumwa ya kuchonganisha watu dhidi ya CDM ili vyama vyao viendelee kuwepo. Tujuavyo KAULI RASMI YA CDM NI KUWAUNGANISHA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI,RANGI,KABILA,CHAMA,ELIMU AMA UKANDA. SUALA HAPA MTU HUYO AWE NI MTANZANIA. Ni vema tusikilize kauli za viongozi na sio kauli za wachochezi wanaotetea maslahi binafsi na mabwana zao.Yeyote mwenye dhamira safi na azingatie ushauri huu.
 
Chilisosi kaleta salamu nzuri za iddi, nyinyi mnaziharibu kwa mijadala isiyohusiana na salam! Why?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani wanaowagawa chadema na waislam ni magamba wala sio chadema mkiwasema vibaya mnawaonea tu. Kwani unafikiri ccm wanpenda m4c ,hata kidogo,kwani unafikiri wa islamu hawajachoka na utawala mbovu wa ccm ? Lakini ipo siku mungu ataweka wazi haya mambo na tutajua mbaya ni nani.
 
Yani hii sumu ni mbaya sana waliyolishwa waislamu kuwa cdm ni chama cha kikristo, nawashauri wasiwasikilize hao ccm wana nia mbaya na wa tz wote.wanawagawanya kwa silaha ya udini. Kila mwenye macho aelewe hili.
 
Back
Top Bottom