Mkono asalimu amri baada ya kukatwa wazazi CCM

Hapatachimbika tena, aliambia kama hataki kukatwa aende Chadema sitishie nyau, mzee katulia tuliii

Huyu mzee anajua madhambi yake kwahiyo lazima anyamaze tu vinginevyo watamfanyia kama alivyofanyiwa Julius Malema huko Afrika ya kusini. Mzee anavuna mabilioni ya shilingi toka serikalini kwa kazi ya uwakili na usikute hata kodi halipi.
 
MODs inamana mmeanza kuwaibia watu ID hivi na kuwabambikia maneno hivi???

Huu mchango hapa chini siufahamu na wala muda huo 09:43 nilikua sehemu ya mbali kabisa na computer. MAXENCE MELO, WHY MUST THINGS GO THIS WAY?????????????????


Chadema walikuwa wanasubiri Pachimbike kama kule Mwanza kunavyochimbika.
 
MODs inamana mmeanza kuwaibia watu ID hivi na kuwabambikia maneno hivi???

Huu mchango hapa chini siufahamu na wala muda huo 09:43 nilikua sehemu ya mbali kabisa na computer. MAXENCE MELO, WHY MUST THINGS GO THIS WAY?????????????????

Real?????? Hii kali sasa duh
 
Ukisikia mtu kula mata ..shi yake mwenyewe, ndiko huku!, ila pia kwa vile we have 3 more years to come mpaka 2015, wapiganaji makini wote, husubiri mpaka "the most oportune moment" ili wa hit, na wakati ukifika, at hit hard with a big blow where it hurts most!. Kanda nzima ya Ziwa gone!.
P.

Pasco,

Tukubali kutokubaliana kwa maono yako.
Matamshi yake yanaonyesha siyo mpiganaji makini. Ni mlevi wa hisia tu. alihisi kama anaweza kutingisha nguzo bila hata ya kufikili Ina uimara gani.

Wapiganaji makini, clever na powerfull ndani ya CCM ni kama kina Edward Ngoyai Lowassa, mzee wa vijisenti na Rostam Aziz. Kidogo kina Dr Mwakyembe, watu hawa huwezi wasikia wakipiga kelele za ovyo na kutaka huruma kutoka katika jamii kama kina Sitta. Wanafanya mambo yao kiustadi na well calculated.
 
Amekubali wapi? Kaona anyamaze msije mkamwambia siyo raia wa tanzania!

Siku si nyingi ataachana na siasa uchwara za sisimweli.

Ahaa haa kamanda CCM imefanya maamuzi yake peupee!! hakuna zengwe wala hakukuwa na mashinikizo ya mlango wa uani kama alivyoshinikizwa Zitto asigombee hiyo ndiyo demokrasia!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huyu ni mmojawapo wa wazee waliopewa greenlight ya kuchuma fedha na Mwalimu JKN.

Huyu mzee kiukweli sijui anatafuta nini NEC. Ingekua mimi ningetulia nile hela nisubiri kifo. Maana hela anazo..

Hivi huko NEC uya CCM kuna nini?
 
Mhe Nimrod Mkono uliahidi jina lako likienguliwa patachimbika! siku zinapita upo kimya!! au ulikuwa unatishia nyau.
Viongozi wengi wa CCM ni vigeugeu! wanafiki!
 
Bank M (Tanzania) has defied high inflation rate by increasing its profit by 62 per cent in a span of one year.These resulted from increased interest earnings from loans, advances, non-core business functions and banking transactions and foreign exchange dealings, according to the bank's official.
 
teh, teh, teh tusubiri labda ndio anaanda majembe, sululu na zana nyingine, Mkono bwana na mkwara wake wa jogoo teh teh!!!
 
Huwa namfananisha na mzee Small hivyo jibu limepatikana bila kupapasa.
 
kwani alipotamka hayo wewe ulimwamini?? mie sina imani ya gamba lolote kwani hawamaanishi wayasemayo mfano hai ni mr.dhaifu.
 
Back
Top Bottom