Mkono anahamia Burundi?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kuna tetesi kuwa kule kuna pesa nyingi za INGO's na jamaa kaona mnamletea zogo zogo na vijisenti vyenu na kwa taarifa nilizopata ni kuwa keshatuma advance team kule BUngumbura

The question is je Salva Rweyemamu naye atarudi kwao au?
 
Na ubunge atamtelekezea nani? Au atawa remote control watu wa ofisi yake ya Burundi?
Kama anaweza ku operate/ delegatewakati yeye anaendelea na obligations zake za kibunge sawa tu, more power to him.

Lakini kama hii inamaana kazi za kibunge zita suffer itakuwa si sawa.Kina Pius Ng'wandu walirudishwa kutoka ubalozini Japan kwa sababu walikuwa na parliamentary obligations watu wakataka kuleta ruckus, itakuwa huyu na shughuli zake binafsi?
 
kuna ubaya gani? na ninyi mnaosema mkono anarudi kwao, au ninyi mnaosemaga watz wengine sio raia, naomba mjue kuwa, tukianza hivyo, hapa tz raia ni wachache sana,nao ni wagogo, watu wa singida, shinyanga na iringa labda. lakini watu woote wa mipakani ukianzia mbeya, ruvuma, mara,tanga, arusha etc, mtawaita sio watz. pia, angalia wangoni waliovuka toka south africa. cha maana, mtu yoyote aliyezaliwa tz ni mtz. period.
 
Ubungo2,
Hata wa Singida na Iringa ni wahamiaji tu. Ukichunguza historia ya kila kabila
Tanzania utakuta labda Watindiga tu ndio waliokuwa asili.
 
Back
Top Bottom