Mkombozi wa wana Arumeru Mashariki...

Feb 21, 2012
53
23
Nakiri hadharan ya kuwa Chadema ndio cha pekee kilichomkombozi wetu arumeru mashariki... Kuna mambo mengi ambayo yananifanya niweze kukiri hivyo. Kikubwa ni mtaji wa kura alio nao Joshua... Pili ni sera zake na kujitoa kwake kuitumikia jamii ya wana arumeru.. Hilo linadhihirishwa wazi na machozi yaliyotolewa na watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakati wa kumuaga kwenye tafrija aliyoifanya.. Pili ni mpinzani wake kutokuwa na historia yeyote ya kisiasa ndani ya Tanzania... Mwisho wana Ngyani tunaomba kufunguliwa Tawi la Chama mkombozi wetu.... Wana Ngyani tunaomba tufunguliwe tawi la chadema...
 
Wewe siyo mwana Arumeru ,usitake kutudanganya. Tuachie sisi tunaoijua Arumeru tumchague mbunge wetu atakayetufaa.
 
hata wana-ccm walisema sioi ni bwabwa, sasa kwa maadili tu hastahili kuchaguliwa atapeleka mswada binafsi wa ushoga bungeni
 
Pamoja na yote hayo Yesu ndo mkombozi pekee atakaewakomboa ktk kweli na haki
 
hata wana-ccm walisema sioi ni bwabwa, sasa kwa maadili tu hastahili kuchaguliwa atapeleka mswada binafsi wa ushoga bungeni

ah umemaliza kazi uliyopewa haya kachukue mshahara
 
Mkombozi ni yesu mesia pekee tu, chadema itatuvusha kwenye hili daraja la mashaka, i real hate magamba
 
mkombozi? not first time i heard this..especially from church leaders (born again)
 
Back
Top Bottom