Mkojo kuwa rangi ya njano

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Jamani nimekuwa na tatizo la kukojoa mkojo wenye rangi ya njano kuanzia nikiwa na miaka ishirini na nne hadi sasa ambapo nina umri wa miaka thelathini nimejaribu kwenda hospitali nyingi lakini bado. Naomba msaada wenu.Nawakilisha
 
Jamani nimekuwa na tatizo la kukojoa mkojo wenye rangi ya njano kuanzia nikiwa na miaka ishirini na nne hadi sasa ambapo nina umri wa miaka thelathini nimejaribu kwenda hospitali nyingi lakini bado. Naomba msaada wenu.Nawakilisha

News Alert?

Any way Kunywa Maji Mengi
 
Pole sana. Ila mi nilimsikia daktar flan alisema mwili unapokuwa hauna maji ya kutosha mkojo huwa wa njano na mkojo ukiwa mweupe bas mwili unakuwa na maji ya kutosha. Lakin kama unakunywa maji ya kutosha bas hilo litakuwa tatizo lingine
 
Its true jitahidi unywe maji mengi ikishindikana mwone dactar
 
Nadhani rangi ya njano kwenye mkojo ni jambo la kawaida... labda kama imezidi sana
 
mkojo wa njano siyo kawaida kama walivyosema wadau, inaashiria upungufu wa maji mwilini,mkojo wa kawaida unatakiwa kuwa clear na siyo njano,jaribu kunywa lita tatu kwa siku kwa mwezi mmoja majibu utayaona lazima utabadilika,vyinginevyo vile umekwenda hospital unajua ulichoambiwa huko.
 
Tatizo letu tunaposikia kiu hukimbilia soda na cold drinks zisizo na faida yeyote. Maji ni tiba tosha ya tatizo hilo
 
Hospitali walikwambia nini?kwa siku unakunywa maji kiasi gani?Kunywa maji usidhani kila softdrinks huongeza maji mf. usinywe soda,artificial juice ukadhani umeongeza maji,KUNYWA MAJI MENGI KWA MAANA YA MAJI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom