Mkoba: Nitalishtaki HabariLeo kwa kunisingizia; akanusha kusaini kitabu cha mahudhurio

Rais wa CWT amekanusha kile kilichoripotiwa na gazeti la serikali la Habari Leo kwamba Mwalimu Gratian Mkoba alihudhuria na kusaini kitabu cha mahudhurio Shuleni. Amesema atalishtaki gazeti kwa uzushi na amesema atakuwa wa mwisho kurejea kazini.

Source: Clouds FM Mkoba yuko Live
Asijisumbue kwenda mahakamani,amekanusha inatosha
 
  • Kwani kura zilisha chomwa moto au zipo?
  • je sheria yao inataka wasimamiwe na nani?

Pia kwa kuongezea mkuu, NAKUSAIDIA KUENDELEA KUMUULIZA huyo ulomjibu kuwa, ameshndwa kurelate asilimia ya waliounga mkono mgomo kwenye kura na uhalisia wa waliogoma?
 
Kuna walimu tena na shahada zao lkn bado wanakuwa waoga wa mgomo, hivi kwanini mnashindwa kujiamini walimu????? Mgomo halali huu!
 
Habari leo kama tbccm nao walitangaza walimu wameamua kusitisha mgomo hbr j3, wamekuwa wapotoshaji wakubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom