Mkoa upi unaweza kulipa kwa shule ya computer?

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Naombeni msaada wenu wana JF nataka kuanzisha shule ya computer ila yawe maeneo ya mkoa usio popular sana kama dar, mwanza, arusha, ni wapi hasa ukiwa chipukizi ni pouwa sana!
 
Unataka shule hiyo ufundishe nini? i mean course zipi? Basic Computer Office application or Advanced computer Courses?,
 
Njoluma, Katavi na mkoa wa Geita.
Mikoa mingine yote wajanja wamesha simika mizizi yao
Naombeni msaada wenu wana JF nataka kuanzisha shule ya computer ila yawe maeneo ya mkoa usio popular sana kama dar, mwanza, arusha, ni wapi hasa ukiwa chipukizi ni pouwa sana!
 
Asante sana mkuu kwa upendo wako mzuri, ama kweli JF inawatu wa rohoni!
 
Mkuu pia napenda kushauri, usiangaike sana kununua CPU nyingi tumia All in one PC station NC400-network terminals embed in monitor. Hapa utaitajika kutumia only one CPU kama main access point. Kwa maelezo zaidi www.psgtech.cn
This will cost you less, pia control ya virus haitokusumbua.
 
Hii mikoa mipya inaweza kulipa ila tatizo ni uelewa wa umuhimu wa hizo kozi, waweza kulenga Mbeya,A town lakini Mz sidhani!
 
Mkuu pia napenda kushauri, usiangaike sana kununua CPU nyingi tumia All in one PC station NC400-network terminals embed in monitor. Hapa utaitajika kutumia only one CPU kama main access point. Kwa maelezo zaidi www.psgtech.cn
This will cost you less, pia control ya virus haitokusumbua.

Asante sana ndugu yangu!
 
Mkuu naona hiyo kitu si gharama sana, US$ 22.8. wewe umewahi itumia???
 
Nazitumia sana mkuu. Nilianza kuzitumia mwaka 2008. Kuna wahindi walizitangaza sana kwa bei ya $ 500 kila moja. niliwatembelea nikapata details za hizo NTC then nikazitafuta kwenye net. nilinunua kila moja $50 by that time. hadi leo zipo 30 na natumia only one CPU in my office.you just need kuongeza memory ya CPU yako.
 
this is a bright idea,ikiwezekana weka ubuntu :)
Mkuu pia napenda kushauri, usiangaike sana kununua CPU nyingi tumia All in one PC station NC400-network terminals embed in monitor. Hapa utaitajika kutumia only one CPU kama main access point. Kwa maelezo zaidi www.psgtech.cn
This will cost you less, pia control ya virus haitokusumbua.
 
Nazitumia sana mkuu. Nilianza kuzitumia mwaka 2008. Kuna wahindi walizitangaza sana kwa bei ya $ 500 kila moja. niliwatembelea nikapata details za hizo NTC then nikazitafuta kwenye net. nilinunua kila moja $50 by that time. hadi leo zipo 30 na natumia only one CPU in my office.you just need kuongeza memory ya CPU yako.

Mkuu nimefurahishwa sana na hii technology, Naomba kuuliza kama nikizihitaji kwa hapa bongo utaratibu wa mahali kwa kuzipata ni wapi??? au mpaka u-import??? asante
 
Nazitumia sana mkuu. Nilianza kuzitumia mwaka 2008. Kuna wahindi walizitangaza sana kwa bei ya $ 500 kila moja. niliwatembelea nikapata details za hizo NTC then nikazitafuta kwenye net. nilinunua kila moja $50 by that time. hadi leo zipo 30 na natumia only one CPU in my office.you just need kuongeza memory ya CPU yako.

Mkuu mimi namalizia tu kulipa visa tu imenisumbua itabidi nilipe kwa western kesho mapema, lakini bado sijaelewa kidogo mkuu! Kwahiyo unatakiwa kuwa nazo ngapi? kila moja inatumia monitor moja? au ukinunua moja ndo inaweza kuoperate monitor kumi?
 
Mkuu, may be let me give yo a breif explanation. kuna aina mbili i) Mustation NetPC ambapo you will need to have a monitor, key board na mouse pekee and ii) All in one PC unapewa monitor key board na mouse the NetPC is built in the monitor nadhani inauzwa $160. Unlike Mustation NetPC inauzwa kama $50 or $76 hivi. But please call +8675533089868, mobile +8613760419945 make sure you contact them before saa tano during morning hours kesho. I think kwa upande wako just go for All in one PC.
Kujibu swali lako, You will have to use a complete computer set which will be your saver ambapo you will install the All in one Cs. Saver mmoja inaweza kubeba either Mustation NetPc or All in one Pc maximum of 30pcs and your saver memory yake isiwe chini ya 4GB. These are suitable in big offices, internet cafes and schools. If you use these products cost of maintainance is very low bcoz you will be looking at only one computer which is the saver. kama uko na swali uliza usiogope mkuu.
 
mkuu upo wapi?naweza kuja kuziona,please PM me kama for the address etc
Nazitumia sana mkuu. Nilianza kuzitumia mwaka 2008. Kuna wahindi walizitangaza sana kwa bei ya $ 500 kila moja. niliwatembelea nikapata details za hizo NTC then nikazitafuta kwenye net. nilinunua kila moja $50 by that time. hadi leo zipo 30 na natumia only one CPU in my office.you just need kuongeza memory ya CPU yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom